Madhara ya kufanya tendo la ndoa Mara nyingi kwa wanaume

The seer

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
407
690
Tendo la ndoa pamoja na uzuri wake lina madhara yake wazungu wanasema anything too much is harmful.Tendo la ndoa liliumbwa kwa ajiri ya starehe na kuzaliana kufanya tendo la ndoa mara nyingi sana na kupiga bao nyingi kuna madhara kwa kipindi cha kizazi cha sasa.

Dunia na mazingira pamoja na hali ya hewa imebadilika ambayo imeharibu mfumo wa afya ulaji wa vyakula wa sasa si kama wa zamani watu wanashindia matango au mikate au chips.

Wako watu wanajisifia kwa kufanya tendo la ndoa mara nyingi au kupiga bao nyingi.yako madhara ambayo yanatokana na kufanya tendo la ndoa mara nyingi ambayo wataalam wengi hawajazungumza.

Yafuatayo ni madhara yake;

1.KUPUNGUA MDA WA KUISHI
Kutokana na ulaji mbaya kufanya tendo la ndoa sana na kupiga bao nyingi kunapunguza umri wa kuishi kwa wanaume kufanya tendo la ndoa ni sawa na Kazi ngumu kuna UA cell mbalimbali mwilini, bao moja ni sawa na kutembea kilomita nyingi sana kwa DSM bao moja ni sawa na kutembea kwa miguu kutoka mbagala mpaka tegeta kibaoni.bao tatu ni sawa na kutoka DSM mpaka kibaha.wajapani wanaishi miaka mingi sana kwa sababu ya kutokufanya sana tendo la ndoa.Ushauri Fanya tendo la ndoa kwa kiasi kwa wiki fanya mara mbili, bao moja kwa kila tendo kwa afya.

2.KUNAPUNGUZA UWEZO WA KUFIKIRI(WEAKEN THINKING CAPACITY)
Kufanya tendo la ndoa sana kunapunguza uwezo wa kufikiri.watu wengi waliogundua vitu vya kisanyasi si watu wa kufanya sana tendo la ndoa kufanya tendo la ndoa sana kunafanya uwekeze akili nyingi huko, waafrica wengi wakiamka wanashika sehemu za siri kwasababu ndio kitu wanachokifikiri sana lazima tufanye sex transmutation tubadili high sexual desire into other desires.

3.KUNAPUNGUZA UFANISI UTENDAJI WA KAZI mtu anayefanya tendo la ndoa sana kupita kawaida kunapunguza ufanisi wa kutenda kazi.

4.UKIZEEKA UTAWAHI KUTUMIA MKONGOJO. Mtu anayefanya sana tendo la ndoa akizeeka anawahi sana kutumia mkongojo kuliko kawaida kwani kufanya tendo la ndoa sana si kazi ndogo.

NB: Fanya tendo la ndoa kwa afya bao moja tu acha kumkomoa mwanamke unajikomoa mwenyewe.
 
Tendo la ndoa pamoja na uzuri wake lina madhara yake wazungu wanasema anything too much is harmful. Tendo la ndoa liliumbwa kwa ajiri ya starehe na kuzaliana.kufanya tendo la ndoa Mara nyingi sana na kupiga bao nyingi kuna madhara kwa kipindi cha kizazi cha sasa.dunia na mazingira pamoja na hali ya Hewa imebadilika ambayo imeharibu mfumo wa afya.ulaji wa vyakula wa sasa si kama wa zamani.watu wanashindia matango au mikate au chips.
Wako watu wanajisifia kwa kufanya tendo LA ndoa Mara nyingi au kupiga bao nyingi.yako madhara ambayo yanatokana na kufanya tendo LA ndoa Mara nyingi ambayo wataalam wengi hawajazungumza.
Yafuatayo ni madhara yake
1.KUPUNGUA MDA WA KUISHI
Kutokana na ulaji mbaya kufanya tendo LA ndoa sana na kupiga bao nyingi kunapunguza umri wa kuishi kwa wanaume.kufanya tendo la ndoa ni sawa na Kazi ngumu kuna UA cell mbalimbali mwilini.bao moja ni sawa na kutembea kilomita nyingi sana kwa DSM bao moja ni sawa na kutembea kwa miguu kutoka mbagala mpaka tegeta kibaoni.bao tatu ni sawa na kutoka DSM mpaka kibaha.wajapani wanaishi miaka mingi sana kwa sababu ya kutokufanya sana tendo LA ndoa.
Ushauri Fanya tendo LA ndoa kwa kiasi.kwa wiki Fanya Mara mbili.bao moja kwa kila tendo kwa afya.
2.KUNAPUNGUZA UWEZO WA KUFIKIRI(WEAKEN THINKING CAPACITY)
Kufanya tendo la ndoa sana kunapunguza uwezo wa kufikiri.watu wengi waliogundua vitu vya kisanyasi si watu wa kufanya sana tendo LA ndoa.kufanya tendo LA ndoa sana kunafanya uwekeze akili nyingi huko.waafrica wengi wakiamka wanashika sehemu za siri kwa sababu ndio kitu wanachokifikiri sana.lazima tufanye sex transmutation tubadili high sexual desire into other desires.
3.KUNAPUNGUZA UFANISI UTENDAJI WA KAZI.mtu anayefanya tendo LA ndoa sana kupita kawaida kunapunguza ufanisi wa kutenda Kazi.
4.UKIZEEKA UTAWAHI KUTUMIA MKONGOJO.Mtu anayefanya sana tendo LA ndoa akizeeka anawahi sana kutumia mkongojo kuliko kawaida.kwani kufanya tendo la ndoa sana si Kazi ndogo.
NB Fanya tendo LA ndoa kwa afya bao moja tu.acha kumkomoa mwanamke unajikomoa mwenyewe.

mmmmh! we nae, acha kufanya sasa uone madhara yatakauokupata
 
Si kuacha kabisa Fanya kwa afya tu.si kufanya sana huku unakula unbalanced dieti.unashindia urojo au unakula chips na Pepsi.
 
Hapana MKUU tafiti za kweli kabisa sema kwa sababu mi ni mbongo hamniamini.
 
Ni tafiti kabisa sema mi mbongo sijawezeshwa ili niandike article kwa kushirikiana na wataalamu mbalimbali.
Mkuu nimesema vile maana siku hizi kuna tafiti nyingi tu zinakinzana. Mfano mambo ya Tezi Dume yalipoanza watu wakaambiwa washiriki tendo la ndoa mara nyingi mara leo nakutana na hili.
 
Mwanakwetu umetililika,lakini umesahau kuwa cha muhimu sio kujiridhisha ww tu katika tendo! ukipata kamoja na mwenza wako hajapata si ndo mwanzo wa kuchapiwa? pia huo umbali sio kweli! watalaam wanasema bao moja sawa sawa na seven kilomita.calories huwezi jua kwakuwa inategemeana na intensity.pia ukitupa utafiti weka na reference ili uwe na mashiko.
 
Sawa MKUU nitakuja reference other time
 
Tendo la ndoa pamoja na uzuri wake lina madhara yake wazungu wanasema anything too much is harmful. Tendo la ndoa liliumbwa kwa ajiri ya starehe na kuzaliana.kufanya tendo la ndoa Mara nyingi sana na kupiga bao nyingi kuna madhara kwa kipindi cha kizazi cha sasa.dunia na mazingira pamoja na hali ya Hewa imebadilika ambayo imeharibu mfumo wa afya.ulaji wa vyakula wa sasa si kama wa zamani.watu wanashindia matango au mikate au chips.
Wako watu wanajisifia kwa kufanya tendo LA ndoa Mara nyingi au kupiga bao nyingi.yako madhara ambayo yanatokana na kufanya tendo LA ndoa Mara nyingi ambayo wataalam wengi hawajazungumza.
Yafuatayo ni madhara yake
1.KUPUNGUA MDA WA KUISHI
Kutokana na ulaji mbaya kufanya tendo LA ndoa sana na kupiga bao nyingi kunapunguza umri wa kuishi kwa wanaume.kufanya tendo la ndoa ni sawa na Kazi ngumu kuna UA cell mbalimbali mwilini.bao moja ni sawa na kutembea kilomita nyingi sana kwa DSM bao moja ni sawa na kutembea kwa miguu kutoka mbagala mpaka tegeta kibaoni.bao tatu ni sawa na kutoka DSM mpaka kibaha.wajapani wanaishi miaka mingi sana kwa sababu ya kutokufanya sana tendo LA ndoa.
Ushauri Fanya tendo LA ndoa kwa kiasi.kwa wiki Fanya Mara mbili.bao moja kwa kila tendo kwa afya.
2.KUNAPUNGUZA UWEZO WA KUFIKIRI(WEAKEN THINKING CAPACITY)
Kufanya tendo la ndoa sana kunapunguza uwezo wa kufikiri.watu wengi waliogundua vitu vya kisanyasi si watu wa kufanya sana tendo LA ndoa.kufanya tendo LA ndoa sana kunafanya uwekeze akili nyingi huko.waafrica wengi wakiamka wanashika sehemu za siri kwa sababu ndio kitu wanachokifikiri sana.lazima tufanye sex transmutation tubadili high sexual desire into other desires.
3.KUNAPUNGUZA UFANISI UTENDAJI WA KAZI.mtu anayefanya tendo LA ndoa sana kupita kawaida kunapunguza ufanisi wa kutenda Kazi.
4.UKIZEEKA UTAWAHI KUTUMIA MKONGOJO.Mtu anayefanya sana tendo LA ndoa akizeeka anawahi sana kutumia mkongojo kuliko kawaida.kwani kufanya tendo la ndoa sana si Kazi ndogo.
NB Fanya tendo LA ndoa kwa afya bao moja tu.acha kumkomoa mwanamke unajikomoa mwenyewe.
Ila nasikia kuwa ni dawa ya Tezi Dume!
 
Hamna lolote....dem akiingia maghettoni ni kumpiga miti kisawasawa bao ka 16 hivi Tehe......baada ya hapo ni lishe ya maana, matunda debe 1, juice ya karanga litre 1 na maji litre 5 daily. Lol

Hakuna cha madhara wala dada yake nani.
 
Haya ndo matatizo ya uwezo duni kuanzia kutongoza had kwenye shughul yenyewe lazima mtu ujenge hoja zakujitetea badala yakujirekebisha mapungufu yako...
 
Back
Top Bottom