Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,725
Nimejaribu kufanya takwimu ya watoto wa kike wanaoolewa kutoka shule mathalani Kilakala, Tabora girls, Loleza and the like comparing na shule kama Marian, Kifungilo, Mazinde juu and the like na kugundua kuwa watoto wa kike waliosoma kwenye shule za ku husle huwa wanatoka sana kwenye maswala ya kuolewa fasta na ndoa zao huwa ziko largely peaceful. Nikaja kufanya tathmini na hawa watoto waliosoma kwenye shule za st nanihii, duh full huruma. Kwanza wengi wao huolewa kwenye late twenties to early thirties na hata wengi huolewa kwa mbinde sana baada ya umri kuenda huishia kufosi ndoa.
Tatizo linalowacost watoto wa hizi shule za kisasa ni attitude problem. Nadhani huwa wanakuwa na high expectation kuhusu maisha na hii ni zao la hayo wanayopandikizwa kwenye hizi shule walizo soma. Wengi wao huwa very determined na maisha, kupenda kutaka haki sawa na mtoto wa kiume, kuwa very independent na kutopenda kujishusha mbele ya mtoto wa kiume. Basi vitu kama hivi vimewa cost sana hawa mabinti hasa kwenye upande wa mahusiano...