Capitalize on your strengths

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
356
Leo ndio nimeelewa maana ya msemo "capitalize on your strengths". Jamaa anawapa somo wadada hapa.

Kama strength yako ni sura nzuri, capitalize on it, make it more beautiful. Men will fall for it and ignore the rest. If its the booty, capitalize on it.

If its the brains or the boobs, just make sure you capitalize. Flaunt your booty, flaunt your boobs, flaunt your boobs, coz men will surely fall for them. Ujinga ni pale una sura nzuri, ila we uko busy kubinua booty ambayo huna na unasahau kurembesha uso.
 
asee huo msemo unawahusu wadada tu??!!!
 
Akili za kufikiria njia za kuwateka watu/wanaume ili kupata maisha ni akili hovyo kabisa na zinareflect ni kwa jinsi gani kizazi hiki kimepotoka kwa kupenda urahisi.
Kuna personal capabilities nyingi tu za kucapitalize zinazoweza mpa mwanamke good, independent life.
 
Exactly! hivi maisha ni mahusiano tu? No wonder African tutazid kudharauliwa, how many problems do we have?
 
Wenye brain sasa tutapata shida,
Maana its not the first thing you notice

kabsa dada. we like what we see/notice promptly, such as booty, boobs, sura, mguu, etc.

So to draw man's attention by a mere 'brain'... mmh it would necessitate you to 'struggle' much. lol
 
Naamini msemo huo una maana pana sana inategemea wewe unautumia wapi...Mtoa mada ameonyesha msemo huo ulitumika kwa wanawake waweze kutumia maeneo ya mwili wao yenye mvuto zaidi......Ila kwa maana ingine ujumbe ni kwamba inatupasa tujitambue wap strengths zetu zipo ili ikitokea fursa tuweze kuzitumia to the fullest...Mfano umeenda kwenye interview na wewe unajijua kujieleza ni shida ila kuandika upo vizuri so wacha oral interview uchemke lakini waonyeshe na tumia strengths uliyonayo yote kwenye written interview.
 
Spot on Mkuu....Full Respect ..... umeangalia mbali zaidi....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom