Wanaume: Dawa ya kumshika mpenzi

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
18,000
32,348
Uchunguzi uliofanywa hivi karibuni na jopo la wataalamu wa ladha na utamu wa tunda la kati.

Umebainisha kuwa hakuna shoti kati katika kumbakisha mywife wako zaidi ya kujituma kwenye kazi ili ujiongezee kipato na uweze kumtunza vyema mywife wako kwa kumtimizia mahitaji yake yote( yakiwemo mambo yetu yaleeee).

Nawasilisha.
 
Ufundi peleka VETA .. pesa inakufanya daily my wife wako akuone kijana ;););)
 
Kuumbe ndomana Mtaani mademu wakiniona BEKI HAZIKABI????
Tatizo mimi sio bahili na huwa nina moyo wa huruma sana...
 
Kuumbe ndomana Mtaani mademu wakiniona BEKI HAZIKABI????
Tatizo mimi sio bahili na huwa nina moyo wa huruma sana...
 
Tunatumia pesa, tunazisaka pesa. Pesa ndo kila kitu bhana heshima nayo inakuwepo pia
 
Back
Top Bottom