Simbamteme
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 797
- 2,110
Hili jambo nimeliona mara nyingi katika mahusiano na hata katika urafiki wa kawaida wa mwanamke na mwanaume.
Ni leo tu asubuhi 'mtu wangu' amenitext kuniomba nifunge, kwa wale wakristo wanaelewa ni msimu wa mfungo huu.
Sasa akanambia nim promose kama nitafunga, mimi nikamjibu HAPANA, siwezi kufunga ntakuwa najidanganya na namdanganya.
Sasa nashangaa amekuja juu kweli, oooh bora hata ungenambia utajitahidi ingetosha.
Sasa mimi najiuliza, hivi kwa nini wanawake wanapenda sana kuambiwa uongo kuliko kuambiwa ukweli?
Nawasilisha.