IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,050
- 5,642
Huyu dada aka Maznat ni mwana dada anaejishugulisha na maswala ya urembo nilimsikia last week channel ten aisee she is smart, bright, cute kuanzia ndani hadi (akili ) nje ana moyo wa ukarimu beautiful inside out i wish i could have someone like you lakini lucky kwa mmeo hakukosea ni wadada wachache sana wenye akili timamu kama wewe.