GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,216
Niseme tu ukweli kuna dada mmoja ambae ni mlokole aliyetukuka nakaa nae jirani na ni mzuri hadi nahisi wakati mwenyezi Mungu anamuumba alikuwa katika ubora wake, ila napata tatizo na naingiwa na mashaka katika kumtokea na kumtongoza kwakuwa ananijua fika kuwa mimi ni mpagani niliyetukuka lakini kiukweli ninampenda mno na sana yaani sili, silali na hata choo sipati pia.
Naomba kwa wale ambao mna mbinu za ziada za utongozaji mnisaidie ili na mimi niweze kumtokea huyu dada ili awe wangu na kiukweli kama nikifanikiwa tu kuwa nae naacha rasmi kuwa " mr. chomeka chomeka " na nitatulia nae hadi kifo kije kututenganisha.
Asanteni na karibuni.