Kwanini wanawake wanapenda wanaume wapole?

Tamu chungu

Member
Dec 20, 2015
85
64
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa kwenye mahusiano na wanaume wapole,ni sababu zipi zinawafanya kuingia katika mahusiano na wanaume wapole ?

Karibuni
 
Kwa uliyoona wengi pia wanawapenda wanaowasumbua kichwa na sio kuwa wapole ma wanaoburuzwa kwa kila kitu.
 
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa kwenye mahusiano na wanaume wapole,ni sababu zipi zinawafanya kuingia katika mahusiano na wanaume wapole ?

Karibuni

Naomba naomba nikuulize swali ambalo litakupa jibu ya swali ulilouliza. Hivi unaweza kuwa na urafiki au kulala chumba kimoja na simba? Jibu la hili swali ndio jibu ya swali lako kwa nini wanawake hanapenda wanaume wapole?
 
Bila kufikia muafaka wa tafsiri ya mwanaume mpole, watu wataishia kunena kwa lugha. Kila mtu na maana yake kichwani.

Mpole ni polite au gentleman? Anaweza kuwa polite asiwe gentleman?
 
Back
Top Bottom