Nimnunulie zawadi gani hii siku ya valentines?

JosephNyaga

JF-Expert Member
Apr 28, 2014
291
232
Sio mke wangu bado ni ule uchumba wa mwanzo tu. Naombeni mawazo yenu nimchukulie zawadi gani mpenzi wangu huyu ili kuonyesha kumjali kwa siku muhimu kama hii. Bajeti yangu ni sh 30,000/=
 
huwajui wanawake ndugu yangu, mnunulie mdoli tu wa kumweka kitandani, wala usijihangaishe kuwaza kitu kikubwa, hivyo vitu ndo wanaume tunavyoviwaza na wanapewa kila siku, tafuta kitu kidogo tu , all the best!
 
Nafikiri pesa hiyovungeongeza kwenye matumizi ya familia kisha yeye Valentine wako ukamuojesha real love kila siku na sio kusubiri siku maalum.
 
Back
Top Bottom