Nimnunulie zawadi gani ya valentines

JosephNyaga

JF-Expert Member
Apr 28, 2014
291
232
Sio mke wangu bado ni ule uchumba wa mwanzo tu. Naombeni mawazo yenu nimchukulie zawadi gani mpenzi wangu huyu ili kuonyesha kumjali kwa siku muhimu kama hii. Bajeti yangu ni sh 30,000/=
 
Mkuu bajeti yako ni hela ya kusuka

Mpe akasuke kesho aende kanisani...
 
  • Thanks
Reactions: waj
Ushauri tu... kila mwisho wa mwezi muwekee utaratibu wa kumpa laki2... awe anafanya kazi au kula kulala wewe mpe tu kila mwisho wa mwezi...
 
Sio mke wangu bado ni ule uchumba wa mwanzo tu. Naombeni mawazo yenu nimchukulie zawadi gani mpenzi wangu huyu ili kuonyesha kumjali kwa siku muhimu kama hii. Bajeti yangu ni sh 30,000/=
Kwa vile hiki ni kipindi cha kwaresma mnunulie bible yenye cover ya ngozi nzuri sana na hakika itakuwa kumbukumbu nzuri sana kwake
 
Back
Top Bottom