Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,725
Nawashangaa wakaka wa leo hawana vifaa vya kuji link na watoto wa ukweli! Kupata mtoto wa ukweli wala hata haihitaji uwe na mpunga au mkoko wa maana. Ni vile unavyoji package tu.
Pale inapotokea umekutana na mtoto mkali and you have like less than minute to hook up youself sasa wewe mpaka uanze kujing'ata ng'ata hapo mtoto keshakula kona. Au ndio umemit naye kwenye dala dala la Mbagala limeshona kiasi hata ukinong'oneza kila mtu anasikia ina kuwa sheeda kupata namba mana huku na kule kila mtu anakuchek.
Sasa mpango mzima ni kuwa na bizness card zako zinazoelezea fani yako au shughuli unayofanya, na namba za simu au email na vitu kama hivyo.
Pale tu mtoto akimaliza kuitikia salam unamkabidhi bizness card mwambie tutafutane kwa mazungumzo zaidi ya kibiashara au ya kijamii. Trust me mtoto atakulia pozi kwa wiki kadhaa but in the end lazima akucheki hewani.
Usipokiwa na vifaa kama hivi watoto wazuri utaishia kuwaita shemeji tu...