Si Kasie yuleyule uliyemjua

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
22,328
41,018
Nimekutana na mambo, visa na mikasa..............
Nimekutana na vijaluba vya dunia hii vyoote unavyovijua..............
Dua mbaya zote zilizokuwa zinaombwa juu yangu bila kujua idadi yake.....
Kuna ambazo zimenidondosha na kuniumiza....................... watuma dua mbaya furahinii......
Nimekuwa tofauti na juzi jana na juzi ya juzi............
Siimbi tena, sisemi tena, sitabasamu tena, silali tena, sichezi tea...............
Njia iliyopo mbele yangu ni nyembamba na ukuta unazidi kuwa mbembamba..........
kila siku ipitayo nazidi kupungua................
Natamani kurudi kuleeeeeeeeeeeeeeeee.............. sina jinsi...............
A VERY NARROW PATH........... KASIE IS ON IT............... THINK AM CAT WALKING.............
IT WOULD BE BETTER IF IT WERE CAT WALKING................. OOOH LORD HAVE MERCY............!!!!
Because if I'll keep on walking on this narrow path............... I'll be going for good........... for ever.!! and there will be No More Kasie Thing.
 
Jf kuna mengi, naona leo umekuja kivingine Kasie, vp mjeda kashaondoka au ndio bado mnaliwazana
 
Maisha ni kama wave path, hayajanyooka,

Kuna watu wanajua maisha siku zote yamenyooka tu, ukiona uko kwenye hilo group we sio mwenzetu.
 
Nimekutana na mambo, visa na mikasa..............
Nimekutana na vijaluba vya dunia hii vyoote unavyovijua..............
Dua mbaya zote zilizokuwa zinaombwa juu yangu bila kujua idadi yake.....
Kuna ambazo zimenidondosha na kuniumiza....................... watuma dua mbaya furahinii......
Nimekuwa tofauti na juzi jana na juzi ya juzi............
Siimbi tena, sisemi tena, sitabasamu tena, silali tena, sichezi tea...............
Njia iliyopo mbele yangu ni nyembamba na ukuta unazidi kuwa mbembamba..........
kila siku ipitayo nazidi kupungua................
Natamani kurudi kuleeeeeeeeeeeeeeeee.............. sina jinsi...............
A VERY NARROW PATH........... KASIE IS ON IT............... THINK AM CAT WALKING.............
IT WOULD BE BETTER IF IT WERE CAT WALKING................. OOOH LORD HAVE MERCY............!!!!
Because if I'll keep on walking on this narrow path............... I'll be going for good........... for ever.!! and there will be No More Kasie Thing.

Is this a poem, song, story or what?
 
Pole sana, hii ndiyo hawamu ya tano ya Mh. Magufuli, si ww tu wengi wanalia.
 
Back
Top Bottom