Wanawake wa kisasa hawaeleki,wenye pesa tunagongewa na wasio na hela wanagongewa

chifusongea

Senior Member
Jan 8, 2016
164
154
Ila kiu halisia wanawake wa maskini wasio na hela ni watamu zaidi,maana tunawapa treatment ambazo hawajawahi kukutana nazo maisha yao yote.
 
Mada kama hizi zinanifanya nikumbuke sana ule usemi wa Donald Trump juu ya waafrika...Hakika kwenye ili tupo vizur...Imagine mtu anasifia kutembea na mke wa mtu eti 'Ila kiu halisia wanawake wa maskini wasio na hela ni watamu zaidi.maana tunawapa treatment ambazo hawajawahi kukutana Nazo maisha yao yote'
 
Back
Top Bottom