Kwanini moyo?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,016
2,397
Kwanini watu wanasema moyo wangu umependa? Kwanini sio akili ,macho? Sababu kupenda kitu macho ndo yanaona, meseji inapelekwa kwenye ubongo, ubongo unafanya interpretation kama kitu kizuri, kibaya ubongo ndo unatambua kwanini watu wanasema moyo umependa kwanini waseme akili yangu imependa, macho yangu yamependa?
 
kwann wa2 wansema moyo wng umependa? kwann co akil ,macho? coz kupenda ki2 macho ndo yanaona, mesej inapelekwa kwnye ubongo, ubongo unafanya interpretation km ki2 kizur, kbaya ubongo ndo unatambua. kwann wa2 wanasema moyo umependa kwann wacseme akil yng imependa, macho yng yamependa?
1456526156221.jpg
 
Ukisema wewe macho na ubongo wako umependa inatosha sisi tuache tunatumia Moyo
 
kwann wa2 wansema moyo wng umependa? kwann co akil ,macho? coz kupenda ki2 macho ndo yanaona, mesej inapelekwa kwnye ubongo, ubongo unafanya interpretation km ki2 kizur, kbaya ubongo ndo unatambua. kwann wa2 wanasema moyo umependa kwann wacseme akil yng imependa, macho yng yamependa?
haka kabint nakaelewa sana daah....ngoja nipite nikiangalia comment na majiribu yake
 
kwann wa2 wansema moyo wng umependa? kwann co akil ,macho? coz kupenda ki2 macho ndo yanaona, mesej inapelekwa kwnye ubongo, ubongo unafanya interpretation km ki2 kizur, kbaya ubongo ndo unatambua. kwann wa2 wanasema moyo umependa kwann wacseme akil yng imependa, macho yng yamependa?
moyo wangu umeupenda mwandiko wako.
 
Back
Top Bottom