Adabu ya mume kwa mkewe

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
ADABU YA MUME KWA MKEWE.
1. Usitangaze udhaifu wa mkeo kwa familia na marafiki, kila mmoja anamtunzia mwenziwe hadhi yake.

2. Usiwe na mtizamo mbaya wala kuzungumza naye kwa hisia kali huwezi kujua atatafsiri vipi.!

3. Usimlinganishe mkeo na wanawake wengine, huwezi kujua hao wanawake wengine wanapitia hali gani kimaisha.

4. Usisahau kwamba ni mkeo umemuoa, yeye si kijakazi, muhudumie kama malikia na atauonyesha ulimwengu kwamba Mumewe ni mfalme na utamtawala maishani.

5. Mpe kipaumbele na ni wajibu wako binafsi kumfanyia jambo na sio watu wengine. 6. Usimlaumu mbele za watu hata kama kakosea, mlinde, muhimize, mrekebishe faraghani, ukifanya hivyo kamwe hatokusahau.

7. Usimnyime huduma za kitandani kwa kujifanya mgonjwa/kuchoka ama kutokuwa na hamu. Kumbuka wanaume wengine wanatafuta nafasi hiyo.

8. Usimlinganishe mkeo na mtalaka wako ama mkeo aliyefariki maana wewe ni
mume wa pekee kwake.

9. Usimkemee wala kumkosoa mbele ya watoto, ni malezi mabaya kwa watoto maana wewe ni Mwalimu wao, wanakutazama wewe japo unadhani ni watoto tu!.

10. Mtazame mkeo kama kavaa vizuri kabla hajatoka maana akipendeza yeye na wewe unaheshimika na ukipendeza wewe yeye anaheshimika.

11. Usikubali marafiki kuwa karibu na mkeo, weka mipaka maana hujui nia
zao.

12. Usitoke kuoga na haraka haraka ukavaa nguo ukatoka pasi yeye kukukagua, mkeo kazungukwa na wanaume wanadhifu wanaojali mazavi na utanashati.

13. Wazazi, ukoo na marafiki sio waamuzi kwa mambo ya mkeo, usipoteze muda kutafuta uamuzi wa mwisho kutoka kwao, ithibiti ndoa yako.

14. Mapenzi yako yasiwe kwa sababu ya mazingira au kihali hata kama ulimuoa kwa misingi hiyo kwa sasa ni mkeo mpende bila masharti. Hali uweza kubadilika na ikiwa ndio msingi basi ndoa itavunjika.

15. Mkeo anahitaji umakini kwake na umsikilize kama mtoto, usiwe mkali
msikilize kwa makini na atakupenda.

16. Usijilinganishe na mkeo, yeye ni mke kwa hivyo msaidie tu maana ndoa ni kusaidiana.

17. Usimuhukumu mkeo, ni msaidizi wako na kiumbe dhaifu mchukulie kwa mtazamo huo na utapata utulivu wa akili.

18. Mume mzembe hajali, haogi. Jiweke nadhifu ukiwa na yeye nukia vizuri, harufu mbaya inamkirihisha ila hawezi kukwambia.

19. Usiwe na urafiki na waume walio na mtazamo mbaya kuhusu Ndoa. Watakuharibu mawazo.

20. Mkeo ana thamani kubwa sana ndio maaana ukatoa vitu vya thamani
kumuoa. Penzi lenu lifanye jipya, uzembe haufai.

21. Kuzaa ni majaaliwa, mpende mkeo awe na watoto au asiwe nao, usiwabague watoto kwa jinsia wafunze dini na watakuwa wacha Mungu hadi maishani mwao.

22. Hauwi mzee kwa mkeo katika kumburudisha, usiwe na ugomvi naye
mutakuwa katika kheri. Usiwache kuwajali watoto wako na mkeo
kwa sababu ya wanawake wengine au sababu yoyote ile. Wao ni wewe na wewe ni wao.

23. Mume anayedumu na ibada ana usalama, omba kila siku, muombee mkeo na watoto.
 
ADABU YA MUME KWA MKEWE.
1. Usitangaze udhaifu wa mkeo kwa
familia na marafiki, kila mmoja
anamtunzia mwenziwe hadhi yake.
2. Usiwe na mtizamo mbaya wala
kuzungumza naye kwa hisia kali huwezi kujua atatafsiri vipi.!
3. Usimlinganishe mkeo na wanawake
wengine, huwezi kujua hao wanawake
wengine wanapitia hali gani kimaisha.
4. Usisahau kwamba ni mkeo umemuoa,
yeye si kijakazi, muhudumie kama malikia na atauonyesha ulimwengu
kwamba Mumewe ni mfalme na
utamtawala maishani.
5. Mpe kipaumbele na ni wajibu wako
binafsi kumfanyia jambo na sio watu
wengine. 6. Usimlaumu mbele za watu hata kama
kakosea, mlinde, muhimize, mrekebishe
faraghani, ukifanya hivyo kamwe
hatokusahau.
7. Usimnyime huduma za kitandani kwa
kujifanya mgonjwa/kuchoka ama kutokuwa na hamu. Kumbuka wanaume
wengine wanatafuta nafasi hiyo.
8. Usimlinganishe mkeo na mtalaka wako
ama mkeo aliyefariki maana wewe ni
mume wa pekee kwake.
9. Usimkemee wala kumkosoa mbele ya watoto, ni malezi mabaya kwa
watoto maana wewe ni Mwalimu wao,
wanakutazama wewe japo unadhani ni
watoto tu!.
10. Mtazame mkeo kama kavaa vizuri
kabla hajatoka maana akipendeza yeye na wewe unaheshimika na
ukipendeza wewe yeye anaheshimika.
11. Usikubali marafiki kuwa karibu na
mkeo, weka mipaka maana hujui nia
zao.
12. Usitoke kuoga na haraka haraka ukavaa nguo ukatoka pasi yeye
kukukagua, mkeo kazungukwa na
wanaume wanadhifu wanaojali mazavi
na utanashati.
13. Wazazi, ukoo na marafiki sio
waamuzi kwa mambo ya mkeo, usipoteze muda kutafuta uamuzi wa mwisho kutoka
kwao, ithibiti ndoa
yako.
14. Mapenzi yako yasiwe kwa sababu ya
mazingira au kihali hata kama ulimuoa
kwa misingi hiyo kwa sasa ni mkeo mpende bila masharti. Hali
uweza kubadilika na ikiwa ndio msingi
basi ndoa itavunjika.
15. Mkeo anahitaji umakini kwake na
umsikilize kama mtoto, usiwe mkali
msikilize kwa makini na atakupenda. 16. Usijilinganishe na mkeo, yeye ni mke
kwa hivyo msaidie tu maana
ndoa ni kusaidiana.
17. Usimuhukumu mkeo, ni msaidizi wako
na kiumbe dhaifu mchukulie
kwa mtazamo huo na utapata utulivu wa akili.
18. Mume mzembe hajali, haogi. Jiweke
nadhifu ukiwa na yeye nukia
vizuri, harufu mbaya inamkirihisha ila
hawezi kukwambia.
19. Usiwe na urafiki na waume walio na mtazamo mbaya kuhusu Ndoa.
Watakuharibu mawazo.
20. Mkeo ana thamani kubwa sana ndio
maaana ukatoa vitu vya thamani
kumuoa. Penzi lenu lifanye jipya, uzembe
haufai. 21. Kuzaa ni majaaliwa, mpende mkeo
awe na watoto au asiwe nao,
usiwabague watoto kwa jinsia wafunze
dini na watakuwa wacha Mungu hadi
maishani mwao.
22. Hauwi mzee kwa mkeo katika kumburudisha, usiwe na ugomvi naye
mutakuwa katika kheri.
Usiwache kuwajali watoto wako na mkeo
kwa sababu ya wanawake wengine au
sababu yoyote ile.
Wao ni wewe na wewe ni wao. 23. Mume anayedumu na ibada ana
usalama, omba kila siku, muombee
mkeo na watoto.
Na ADABU ya Mke kwa MUMEWE!!??? Naisubiri hiyo version..
 
(Bob Marley)
If dem want to win the revoloution
Must win it, wit rasta!
Can't win no other way
Because if you win other way, you go fight again
If rasta win, den no more war
 
The Prophet Muhammad (s) said: “Be kind, for whenever kindness becomes part of something, it beautifies it. Whenever it is taken from something, it leaves it tarnished.” – Imam Bukhari’s Book of Muslim Manners.
 
ADABU YA MUME KWA MKEWE.
1. Usitangaze udhaifu wa mkeo kwa familia na marafiki, kila mmoja anamtunzia mwenziwe hadhi yake.

2. Usiwe na mtizamo mbaya wala kuzungumza naye kwa hisia kali huwezi kujua atatafsiri vipi.!

3. Usimlinganishe mkeo na wanawake wengine, huwezi kujua hao wanawake wengine wanapitia hali gani kimaisha.

4. Usisahau kwamba ni mkeo umemuoa, yeye si kijakazi, muhudumie kama malikia na atauonyesha ulimwengu kwamba Mumewe ni mfalme na utamtawala maishani.

5. Mpe kipaumbele na ni wajibu wako binafsi kumfanyia jambo na sio watu wengine. 6. Usimlaumu mbele za watu hata kama kakosea, mlinde, muhimize, mrekebishe faraghani, ukifanya hivyo kamwe hatokusahau.

7. Usimnyime huduma za kitandani kwa kujifanya mgonjwa/kuchoka ama kutokuwa na hamu. Kumbuka wanaume wengine wanatafuta nafasi hiyo.

8. Usimlinganishe mkeo na mtalaka wako ama mkeo aliyefariki maana wewe ni
mume wa pekee kwake.

9. Usimkemee wala kumkosoa mbele ya watoto, ni malezi mabaya kwa watoto maana wewe ni Mwalimu wao, wanakutazama wewe japo unadhani ni watoto tu!.

10. Mtazame mkeo kama kavaa vizuri kabla hajatoka maana akipendeza yeye na wewe unaheshimika na ukipendeza wewe yeye anaheshimika.

11. Usikubali marafiki kuwa karibu na mkeo, weka mipaka maana hujui nia
zao.

12. Usitoke kuoga na haraka haraka ukavaa nguo ukatoka pasi yeye kukukagua, mkeo kazungukwa na wanaume wanadhifu wanaojali mazavi na utanashati.

13. Wazazi, ukoo na marafiki sio waamuzi kwa mambo ya mkeo, usipoteze muda kutafuta uamuzi wa mwisho kutoka kwao, ithibiti ndoa yako.

14. Mapenzi yako yasiwe kwa sababu ya mazingira au kihali hata kama ulimuoa kwa misingi hiyo kwa sasa ni mkeo mpende bila masharti. Hali uweza kubadilika na ikiwa ndio msingi basi ndoa itavunjika.

15. Mkeo anahitaji umakini kwake na umsikilize kama mtoto, usiwe mkali
msikilize kwa makini na atakupenda.

16. Usijilinganishe na mkeo, yeye ni mke kwa hivyo msaidie tu maana ndoa ni kusaidiana.

17. Usimuhukumu mkeo, ni msaidizi wako na kiumbe dhaifu mchukulie kwa mtazamo huo na utapata utulivu wa akili.

18. Mume mzembe hajali, haogi. Jiweke nadhifu ukiwa na yeye nukia vizuri, harufu mbaya inamkirihisha ila hawezi kukwambia.

19. Usiwe na urafiki na waume walio na mtazamo mbaya kuhusu Ndoa. Watakuharibu mawazo.

20. Mkeo ana thamani kubwa sana ndio maaana ukatoa vitu vya thamani
kumuoa. Penzi lenu lifanye jipya, uzembe haufai.

21. Kuzaa ni majaaliwa, mpende mkeo awe na watoto au asiwe nao, usiwabague watoto kwa jinsia wafunze dini na watakuwa wacha Mungu hadi maishani mwao.

22. Hauwi mzee kwa mkeo katika kumburudisha, usiwe na ugomvi naye
mutakuwa katika kheri. Usiwache kuwajali watoto wako na mkeo
kwa sababu ya wanawake wengine au sababu yoyote ile. Wao ni wewe na wewe ni wao.

23. Mume anayedumu na ibada ana usalama, omba kila siku, muombee mkeo na watoto.
Safi sana nimejifunza mengi sana kutokana na hii post yako
 
Asante mkuu noted
 
Na ADABU ya Mke kwa MUMEWE!!??? Naisubiri hiyo version..
Aahhaa.. Dear mbona everyday mnatuwekea adabu za mke kwa mumewe ( I still do my homework sijamaliza bado ).... I didn't see a week pass by without to read a Thread about women , how to behave to their husband , or husband to be .. Jamani today nasi its our turn kusikilizwa, my Kaka, please . ... Thanks. ..
 
Basi sawa Dada Darling.....nimekusoma.
 
Back
Top Bottom