Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
Wazima nyieee, sio kwamba jpili nili wachomesha mahindi makusudii ni kwamba kama gundu tu, ki laptop chaliiiiii! Mungu si athumani...
Wanajamvi nimetokea kumpenda kimapenzi mama mmoja jirani yangu ila kuna pingamiz ambazo zinanifanya niogope kumwambia.
Kwanza amenizidi umri kwan yeye ni mama mwenye watoto watatu na ameolewa...
Habari Wapendwa wa Jf na wana MMU woote...
Kwa mara nyingine nashare yale niliyo nayo katika mahusiano yetu haya ya kila siku ambayo tunafurahia na wakati mwingine kutuendesha.
Ukiwa na mtu...
Wasalamu wana MMU!
Ningependa kushare nanyi hii mambo mana hata siielewi kabisa.Ni hivi kuna binti mmoja nilikuwa na uhusiano nae mwaka 2014 wote tukiwa chuo. Sasa baada ya sintofahamu nyingi...
Mpo wakuu?
Ninaye rafiki yangu. Baada ya kuwa nje ya nchi kwa miaka miwili amerudi nyumbani na kukuta mkewe wa ndoa akiwa na mimba ya miezi nane.
Kumwuuliza mwenye mimba mkewe amemwambia kwamba...
Wasalaaaaam,
Kama ilivyo ada vyuo msimu huu huwa unakuwa mgumu kwa Wanachuo wengi.
Huu ndiyo muda wa kumaliza semester ya kwanza na wanafunzi wengi hujifanya wanawapenda sana Wahadhiri...
Ukitaka kupata maana halisi ya ule usemi usemao "ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu" basi jaribu kuchunguza wale wadada wote wazuri na Waliokua wanajifanya matawi au mastaa sana kitaa na skuli...
Ndugu marafiki naombeni ushauri wenu nina uhusiano na msichana kwa muda wa miaka 2 hivi karibuni amenisumbua sana kwani muda mwingi nampigia simu na hapokei pia baada ya kumpigia tena anakuwa...
Habari Wana JF,...
Mi ni mshirika mpya ktk JF, baada ya kufurahishwa na kupendezewa sana na kile kinachojadiliwa humu ndani nimeamua kujiunga,..
Baaada ya kufanya utafiti kwa kina nimekuja gundua...
Hapa nazungumzia walioishi kwenye ndoa kuanzia miaka mitatu na kuendelea
Mara ya mwisho kumnyonya mkeo ndimi zake ni lini kama mlivyokuwaga mnafanyaga kile kipindi cha mitongozo jaman maana me...
WANAUME TUSOME TUJIONGEZE | WANAWAKE SOMENI MUWAKOSOE WANAPOVUNJA HAYA
Kutengeneza mahusiano yenye AFYA njema Wanaume tufanye haya
1. Usijisahau katika mahusiano ukawa comfortable kiasi kwamba...
'I have been around,I have known a lot of woman's during my time,they gave me a lot of fun and a lot of grief '
Naongelea wadada wanaopokea hela za wanaume kwa kuomba au kupewa kama kifuta jasho...
Habarini za muda wana jukwaa pendwa la MMU,
Binafsi nimekuwa najiuliza,hivi kuna siri gani katika mahusiano mapya? Maana huonekana kuwa na nguvu kubwa isiyo ya kawaida.Hakika kunakuwa ni kipindi...
Yaani usiku hatujalala na hadi asubuhi hii ni Fujo na makelele.Jirani ambaye ni bosi wa T.R.A amemfuma live mkewe akigegedwa tena kitandani kwao na dereva wake.
Intro; Juzi mchana kutwa nilichepuka na Binti mmoja mwaka wa PILI Chuo fulani hivi huko morogoro.
Kilichotokea; Jana mida ya saa 12:03 mchana akanitumia "text" kwa ajili ya kunipongeza kwa...
Wanawake ni mama zetu, dada zetu, shangazi zetu,wake zetu na wapenzi wetu lakini ni watu wabinafsi sana.
Utakuta mwanamke anakuuliza kweli unanipenda, unajibu ndio nakupenda, anauliza ntaaminije...