Hivi ni dawa gani nzuri ya mwanaume malaya?

4X4byfar

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
201
Reaction score
26
Jamani za leo bandugu,

Hivi ni dawa gani nzuri ya mwanaume malaya...nimechoka mmmmmmhhhh.
 
Kama umechoka si uchape mwendo mama, kama ni maslahi basi vumilia.
 
Msubiri saa anakoroma kata ma good morning ukayafungie kabatini.
 
Mtegeshee kalala halfu ukate niniii yake kwa kisu..tatizo kwisha kabisa!!!
 
Threesome....tafuta mwanamke anaeyaweza mumvamie kitandani for a threesome..hatarudia tena
 
Dawa ya moto ni moto kama yeye malaya na wewe kuwa malaya then watoto wa mjini tunasema ngoma droo
 
Mpe asubuhi mchana mvamie kazini umpe na usiku kote huko hakikisha anapiga goli @3.
 
Dawa ya mwanaume malaya ni kumpa gegedo kila baada ya masaa matatu mpaka unahakikisha anamwaga povu...... akirudi tuu nyumbani unamtega halafu unamchombeza mpaka akugegede na unajituma mtoto wa kike, unahakikisha mnaenda round za kutosha kiasi kwamba gegedo lake liko doro na unalitest kabisa. Asubuhi kabla ya kuoga unamchombeza tena na unajituma mtoto wa kike unahakikisha kakupa ki.tombo cha nguvu na unalitest gegedo lake tena kwa kuflow na mike na kuhakikisha liko doro. Pia ukiweza kuwa unamuibukia ofisini kama ana ofisi ya peke yake yenye privacy ya kutosha unaomba a quickie tena(kwa vitendo).
usikubali hata siku moja kulala bila kupewa ki.tombo ni kosa kubwa sana wanawake walio kwenye ndoa huwa wanalifanya. Pia hakikisha mkiamka asubuhi unapewa dozi.
Tatizo wanawake wa siku hizi ubunifu F, unasubiri uombwe wewe kila siku; na ukiombwa kila siku unalalama.... hapo lazima mwanaume afanye umalaya
 
Mkuu Dr. Bila shaka andiko lako la PhD ulijikita katika fani hii au la wewe ni mmoja wa wale mnaowakilishwa na mzee kingunge kwenye bunge la katiba, manake ulivyotililika inaonyesha ni kwa jinsi gani ulivyo mzamivu ktk mambo haya. Hope mlengwa atazingatia ushauri wako.
 
Pole jaman dawa maombi tuu hapo atakuwa ana pepo la jini mahaba likemee hilo li roho
 
Back
Top Bottom