Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,084
Unajijua kabisa kama wewe ni mume wa mtu, unadate mchepuko hadi kuupangia chumba/nyumba, ukitoka huko ukija unakaa kidogo kisha unarudi kwako mkavuu! Huyu unamwacha nanani usiku mzima hali anajua fika kuwa uko kwako na mkeo mkitoana baridi? Kumbuka naye anahitaji kuwa na wake wa kumkumbatia usiku mzima, naye ana roho, ila anavumilia tu akijua wewe ni mpitanjia...! Atafanya yake kisiri na akinogewa atakumwaga inauma lakini huna la kufanya huna hati miliki kwake kisheria wekeza tu lakini ujue lolote laweza tokea