Nimekuwa katika kipindi cha muda mrefu hapa Songea yapata miezi 4. nikipambana na life la hapa.
Kama mnavyofahamu kabisa kijana lijari sometimes ni vigumu kivumilia hali ya upweke. nika jipanga kutafuta demu wa kuwa nae.
Nikatupa nyavu zangu binti mmoja ambaye kiukweli ni mbovu katika sura na shepu..
Kwanza pindi nampa vocal zangu maneno ya kumpamba kwani nini nimempanda yaliniisha kabisa kwa kuwa sifa nyingi za kumpamba hana.
Nimetumia zaidi ya mwenzi mzima kumshawishi awe nami hataki.
Lakini kuna watu watatu wamekula tena kwa vipindi tofauti tena ni wale wapitaji
.
Je niendelee kumtongoza au nitafute mwingine au nimpe safi nyingi hata kama hana hata moja?