Baba eti dume ni nini?

Baba eti dume ni nini?

rpg

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Posts
3,620
Reaction score
1,480
Nikiwa nyumbani nikitazama TV mara likapita tangazo la condomu "Dume", mwanangu wa kiume 6 years akaniuliza, eti baba dume ni nini? Nikakaa kimya huku wageni tuliokuwa nao sitting room wakishikwa na mshangao. Nilipofikiria sana nikahisi ni haki ajue. Nikamwambia dume ni Condom!!! Watu wakaanguka kicheko. Nikafikiria maswali yake yameisha, mara oh eti inatumika kutengenezea nini? Ikabidi nipotezee.

Ungekuwa wewe ungelifanyaje?
 
mkuu rpg tukio hilo ni fundisho tosha na kengele tosha kuwa makini sana na kuwa karibu sana na mtoto wako kujua anaangalia nini na anachukuliaje hayo anayoyaangalia je anayafanyia kazi?anayaona ya kawaida tu au anayaona mabaya?kuna kitu anajifunza kutokana nayo?anachojifunza ni -ve au +ve kwa mwanao?televisheni ni mwalimu mkubwa sana kwa mtoto ambao na wao pia ni wepesi wa kushika mambo tena kwa haraka mno,kwa hiyo mzazi asipokuwa makini na kumwacha mtoto aangalie tv muda wowote aupendao na bila kujua nini anaagalia ajiandae kupata maswali zaidi tena ya kuaibisha na pia ajiandae kupata mtoto wa kimovie movie.

Angalizo kwa wazazi hata ikiwa uko bize kiasi gani angalau weka muda fulani wa kuwa karibu na mtoto wako kujua anaangalia nini na anachoangalia kinamjenga au kinambomoa.
 
Last edited by a moderator:
ungemwambia ni mashetani yanayoua watu hivyo basi hutakiwi kuongea hilo neno mpaka miaka 20 ikifika
 
  • Thanks
Reactions: rpg
mkuu rpg tukio hilo ni fundisho tosha na kengele tosha kuwa makini sana na kuwa karibu sana na mtoto wako kujua anaangalia nini na anachukuliaje hayo anayoyaangalia je anayafanyia kazi?anayaona ya kawaida tu au anayaona mabaya?kuna kitu anajifunza kutokana nayo?anachojifunza ni -ve au +ve kwa mwanao?televisheni ni mwalimu mkubwa sana kwa mtoto ambao na wao pia ni wepesi wa kushika mambo tena kwa haraka mno,kwa hiyo mzazi asipokuwa makini na kumwacha mtoto aangalie tv muda wowote aupendao na bila kujua nini anaagalia ajiandae kupata maswali zaidi tena ya kuaibisha na pia ajiandae kupata mtoto wa kimovie movie.

Angalizo kwa wazazi hata ikiwa uko bize kiasi gani angalau weka muda fulani wa kuwa karibu na mtoto wako kujua anaangalia nini na anachoangalia kinamjenga au kinambomoa.

Blue G, Asante kwa maono mazuri, huwa ninajitahidi sana kuwarestrict, nimewagroom kwa kuangalia gospel na cartoon, na nashukuru most of the time huwa wanaimba gospel wanapokuwa wanacheza. Pia nimewazoesha kuangalia taarifa ya habari. Mara nyingi ikifika saa mbili kama nipo nyumbani huwa wananiuliza baba huangalii taarifa? Sema hili lilikuja muda mfupi kabla ya taarifa.

Ninajua kids are very sensitive, hata mkitofautiana na wife wananote. Watoto ni wepesi wa kujifunza. Kwa hiyo uliyoyasema ni kweli, lazima tufuatilie mienendo ya watoto wetu kwa karibu!
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa nyumbani nikitazama TV mara likapita tangazo la condomu "Dume", mwanangu wa kiume 6 years akaniuliza, eti baba dume ni nini? Nikakaa kimya huku wageni tuliokuwa nao sitting room wakishikwa na mshangao. Nilipofikiria sana nikahisi ni haki ajue. Nikamwambia dume ni Condom!!! Watu wakaanguka kicheko. Nikafikiria maswali yake yameisha, mara oh eti inatumika kutengenezea nini? Ikabidi nipotezee.

Ungekuwa wewe ungelifanyaje?

Vunja ukimya.

Ungemwambia inatengenezea madumu.
 
Mwambie ni dawa kuzuia ugonjwa uitwao ukimwi baasi
 
Hongera mkuu kwa kuwadhibiti wanao na kuwazoesha kuangalia kitu kinachostahili endelea hivyo hivyo unatengeneza kizazi kizuri kijacho.
blue g, asante kwa maono mazuri, huwa ninajitahidi sana kuwarestrict, nimewagroom kwa kuangalia gospel na cartoon, na nashukuru most of the time huwa wanaimba gospel wanapokuwa wanacheza. Pia nimewazoesha kuangalia taarifa ya habari. Mara nyingi ikifika saa mbili kama nipo nyumbani huwa wananiuliza baba huangalii taarifa? Sema hili lilikuja muda mfupi kabla ya taarifa.

Ninajua kids are very sensitive, hata mkitofautiana na wife wananote. Watoto ni wepesi wa kujifunza. Kwa hiyo uliyoyasema ni kweli, lazima tufuatilie mienendo ya watoto wetu kwa karibu!
 
  • Thanks
Reactions: rpg
Mwanangu aliona hilo tangazo. Basi Nikampeleka kuonyoa maeneo ya sayansi, ghafla akatokea yule actor wa dume, mtoto alipomwona akanimbia kwa sauti, baba dume yule!... Watu wote wakaanza kucheka. Watoto wetu usiku hizi wana memory kubwa.
 
Ninajua kids are very sensitive, hata mkitofautiana na wife wananote. Watoto ni wepesi wa kujifunza. Kwa hiyo uliyoyasema ni kweli, lazima tufuatilie mienendo ya watoto wetu kwa karibu!

942468_417949588315361_1134530449_n.jpg
 
  • Thanks
Reactions: rpg
Nikiwa nyumbani nikitazama TV mara likapita tangazo la condomu "Dume", mwanangu wa kiume 6 years akaniuliza, eti baba dume ni nini? Nikakaa kimya huku wageni tuliokuwa nao sitting room wakishikwa na mshangao. Nilipofikiria sana nikahisi ni haki ajue. Nikamwambia dume ni Condom!!! Watu wakaanguka kicheko. Nikafikiria maswali yake yameisha, mara oh eti inatumika kutengenezea nini? Ikabidi nipotezee.

Ungekuwa wewe ungelifanyaje?

Ungemwamhiq ni dawa ya penzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom