Habari wana JF,
Kila siku nimekua nkitamani sana kuolewa, nikiwa peke yangu ni kuononeka tu moyoni juu ya hilli. Na hii imetokea baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wangu ambaye tulipanga kuoana mwaka huu. Moyo wangu umekuwa ni wa masikitiko kila mara na hivi nikiangalia umri umeenda wakati mwngine nakaa nawaza sana na nalia tu.
Hali hii imeniathiri kiasi cha kuuma kila ninapomwona mwanaume au wanandoa wakiongozana, hususani kwenye mkusanyiko wa watu kama kanisani, kwny daladala, mikutano naumia sana najiona kama sina bahati ya kupendwa.
Nahisi kukata tamaa kwani nilikua bize sana kipindi cha masomo sikutaka kabisa kuwa na mahusiano wakati nasoma.
Hii hali inaniaumiza sana naombeni mnisaidie hata kwa mawazo tu maana nahisi BP inaninyemelea.
Asanteni.