Theodora
JF-Expert Member
- Dec 20, 2009
- 806
- 584
Habarini wanaMMU.
Ili mapenzi ya dhati kuwepo, lazima kuwepo na physical attraction kati ya mke na mme? na je, mapenzi ya dhati yanaweza kuexist bila physical attraction? (hapa ni kwenye mahusiano/ndoa). Na bila physical attraction uaminifu kwenye mahusiano utakuwepo?
Na pale ambapo mtu anapoteza physical attraction kwa mwenzi wake, nayo mapenzi yanaisha? Kwa mfano, endapo kile kilichokuvutia kwa mwenzi wako labda miguu, akapata ajali na kupoteza hiyo miguu, utaacha kumpenda?
Na je, personality attraction inayo nafasi kwenye mapenzi ya dhati?
Nimeona marriage counselors wengi wanasema kwamba physical attraction ni muhimu ili mahusiano yadumu ndo maana nauliza haya maswali. Hata hapa MMU wengi husifia more on physical attributes.