Ujana maji ya moto,msaada kwenye tuta tafadhali...

Ujana maji ya moto,msaada kwenye tuta tafadhali...

kiwaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Posts
299
Reaction score
522
Habari watu wa humu ndani,

Mimi ni kijana nina mpenzi wangu tangu tupo advance(secondary school) ,almost ni kama miaka nane hivi tupo ndani ya mahusiano.

Tukafanikiwa kupata mtoto, pande zote mbili za wazazi wanajua hali halisi.

Ni miaka mi nne sasa tupo mbali mbali hii ni kutokana nami kuamishiwa kikazi mkoa mwingine,but mahitaji yote ya mtoto namtimizia.

Huku nilipo ndani ya miaka miwili iliyopita nimejikuta nipo kwny mahusiano mapya na msichana mwingne,huyu msichana tumetokea mkoa mmoja,anaijua familia yangu nami naijua familia yao mwanzo mwisho, nimemueleza hali halisi ya kwamba nina mtoto,na amekubaliana na hali na anataka tuoane.

Ki ukweli nami nampenda sana tena sana tu.

Nia yangu kuja hapa ni kuomba msaada na mawazo yenu, nitaanzaje kumwambia mpenzi wangu wa mwanzo kama nina mtu mpya ambae nipo tayari kumuoa!!?
 
wakati unafall kwa huyo hukujua kuwa una mwingine............

Mapenzi ya kuishi mbali mbali ni magumu sana
 
Hahaaaaaa! Nacheka japo si mazuri! Mi ndo maana placenta yangu siitoi kirejareja! Dont be selfish fanya maamuzi yatakayo mnufaisha mwanao!! Period!
Makin decisions and choices basin on only ya Dick will wreck some ones life forever. Ilikuwa ni selfish decision wewe na mwenzio kuamua kumleta mtu kirejareja duniani but fikiria mwanao kilelewa na baba wa kambo au mama wa kambo kakukoseeni nini nyie viumbe wazito. Unakuta katoto ka nyongeee! Huku hatakiwi na huku hatakiwi.

Dont look at your self, look at the bigger picture. Ndo maana wengine wanaoa tu na kubaki vitombelo maisha yao yote sio kuwa hawakuweza kukomaa kuoa wanao wapenda, but they decided to be RESPONSIBLE for their past mistakes. Just going an extra mile to compansate the most loosing ones.

DO THE RIGHT THING KID! DO THE RIGHT THING!
 
yaani wanaume mnakuwaga kama nyoka muda mwingine,assume huyo ni mdogo wako alafu wewe ndo kaka mtu ungeto ushauri gani????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
ETI MPENZI WANGU WA ZAMANI NITAMWAMBIAJE??UNAMUITA MPENZI KABISA?
 
"Huku nilipo ndani ya miaka miwili iliyopita nimejikuta nipo kwny mahusiano mapya na msichana mwingne,"

Naomba uwe serious mkuu udadavue hapa kwanza....
 
Hapo mpenzi wako wa zamani ni yupi? Manake huyo mama mtoto angekuwa ni mpenzi wako,wa zamani wala usongehitaji kujieleza kuwa unataka kuoa!
 
Hahaaaaaa! Nacheka japo si mazuri! Mi ndo maana placenta yangu siitoi kirejareja! Dont be selfish fanya maamuzi yatakayo mnufaisha mwanao!! Period!

thats enough for my night....una terminology za ajabu ww...
 
ndo maana unakuta mabinti wengi wanafanya abortion mana wanafikiria akizaa bila kuolewa anaweza akakutana na haya then akaishia kuzaa watoto kila mmoja na baba yake kitu ambach hauna mwnamke anaekitaka, au pengine akamuacha mtoto kwenye huzuni ya milele
 
Yaani..yaani....yaani wewe!!
Nakutafutia neno litalokutosha
..usamehewe na Mungu wako bure
 
Yani natamani kukupa tusi kubwa.... yani ulimpa mimba una mtoto unataka kuoa mwingine eti unampenda huyo wa mwanzo si ulimpenda mpaka ukawa unakula kavu .... we mkaka angali mwanao na future ya binti wa watu acha ubinafsi et mapenzi nyambafu kabisa huna akili wewe... kwani kipapuchi cha huyu mpya na wa zamani tofauti ni nini? Ungekuwa na akili ungemuoa huyo mama watoto wako siku nyingi sana.... acha ubinafsi
 
Back
Top Bottom