Kamusi huru-MMU

Kim Il Kwon

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
1,219
1,034
Habari wana MMU,

Kama kweli we ni mpenzi wa jukwaa hili utakubaliana na mimi kwamba lugha inakua. Katika pitapita zangu humu ndani nimekua nikikutana na maneno mapya kabisa yanayoniacha hoi.

1.Papuchi-uke

2.Dyudyu-uume

3.Kugegeda-kut**mb

4.Pichu/kyupi-chupi

5.kifanyio-uume/uke

Ongezea mengine tuikuze lugha yetu tukuka.
 
Habari wanaMMU,
Kama kweli we ni mpenzi wa jukwaa hili utakubaliana na mimi kwamba lugha inakua. Katika pitapita zangu humu ndani nimekua nikikutana na maneno mapya kabisa yanayoniacha hoi.
1.Papuchi-uke
2.Dyudyu-uume
3.Kugegeda-kut**mb
4.Pichu/kyupi-chupi
5.kifanyio-uume/uke
....
ongezea mengine tuikuze lugha yetu tukuka!
Yaani misamiati mipya ni kwenye viungo vya uzazi tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom