Nani wa kuheshimiwa na mke? Ni tajiri wake kwanza au mume wake?

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,779
Wakuu wa JF naomba kuuliza nani katika hawa waliotajwa hapo juu ni nani wa kwanza kuheshimiwa ,maana mwanamke anakaa kwako anakula ,analala na hela ya matumizi unampa lakini cha kuchangaza heshima hamna lakini kwa BOSS wake wanaheshimiana sana sana At home no despline at all ,ushaurii please.
 
Ukisha kubali mkeo afanye kazi, maana yake ni kwamba umesha muuza mkeo kwa BOSS wake. Lazima amuheshimu BOSS kwanza.
 
mkuu kazini lazima heshima iwepo maana pale ni ofisi na tupo kwa ajili ya maendeleo na tunaenda kwa mujibu wa kanuni za kampuni, sio kwamba mume huheshimiwi ukilinganisha na boss wake hapana ila kazini hakuna mambo ya mzaha. ni rahisi mtu kufukuzwa kazi akizingua ila sio ndoa kuvunjika akikosa mara chache... pia mtu awapo ofisini anakiwa katika hali ya nidhamu ya woga hasa ktk serikali hii ya awamu ya tano. sasa akirudi home inabidi awe huru ajisikie yupo kwake acheke afurahi, sa sijui we mkuu wataka akuogope kama anavyoogopwa magufuli au majaliwa! kama kupika, kukufulia si anafanya, sa shida ipo wapi hadi ulete kanuni za ofisini nyumbani pia.
 
Inabidi amuheshimu mumewe kwanza,lakini pia kumbuka kuchezea mshahara lakini usichezee kazi.
 
Mume ana nafasi yake na BOSS ana heshima yake kama mkubwa wangu wa kazi na kumuheshimu boss wangu hakupitilizi
kiasi cha kumfanya mume wangu ajione he is not a man, yeye ni mume wangu na anayo haki 24/7 kwangu boss nikiacha kazi leo kesho napata mwengine..
 
Back
Top Bottom