Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,187
Nikijaribu kujifikiria kama mwanaume naona kidogo makosa mengine tunayatafuta ndio maana hatufurahii ndoa zetu.
Na haya yanapelekea hawa wanawake wajionee wapo juu kwetu
Tunaoa sana kwasababu ya;
1- Mimba
2- Sura
Na bikra tunaziacha hili ni tatizo kubwa unaoa mwanamke aliyezoea jalamba saa tatu wewe nusu saa chali lazima awe anatoka nje maana humfikishi na kibaya wale wanaoenda kwa pupa kuandaana mwiko sekunde mbili huyo.
Wanawake walioolewa na bikra zao leteni comments
Najua hawa walioolewa wakiwa na ndoa tayari na ex wake watakataa tu
Ila mwanaume ili uishi vizuri na ufurahie ndoa tafuta bikra tu ukimwacha huyo utairudia.