Hivi bado kuna wanawake wanavaa makalio bandia? Jana yamenikuta

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,902
19,085
Kama ambavyo huwa nasema humu kila mara mimi ni mpenzi wa mikia.

Mwanamke ambae hana mkia simuangalii mara mbili, napata wakati mgumu sana kurudia kumtazama.

Hivi karubuni nilikutana na binti mmoja alienivutia kwa mkia wake mzuri, jana ndio ilikua siku ya kuonana niufaidi huo mkia. Nilichokiona sikuamini macho yangu, mkia sio mkia, mkia ni wa bandia, kumbe alikua anavaa skin tight yenye masponji kwa ndani.

Niliishiwa nguvu, aikutegemea maana hiyo tabia nilidhani ni ya machangu spesheli na sio hawa dada wanaofanya kazi maofisini na wanaoonekana descents kidogo.

Ushauri wa bure kwa kina dada: Jiamini, huna mkia jiamini na ujikubali kuna watu bado watakupenda jinsi ulivyo,kuna watu bado watapenda muonekano wako wa flat screen.
 
Huyu naye vipi...?

Screenshot_2016-03-09-21-53-47-1.png
 
Aligundua unapenda mikia na yeye alitamani akunase sasa unafikiri yeye angekunasaje????
 
sponji zilishonewa mumo u ulimpa box ahifadhi kwanza? kwa hiyo mkuu hukuona ndani kwa ajili tako halikunona
 
Back
Top Bottom