Nassib Ws
Senior Member
- Aug 11, 2012
- 170
- 115
Habarini humu ndani. Najua dada zetu wengi wakiona wametongozwa na wazungu (especially wazee) wanafurahi sana na kukimbilia kufunga nao ndoa ili wapate viza za kwenda nje. Kumbe mambo yako tofauti na mnavofikiria mkifika huko nje mnaanza kuishi maisha ya shida ya stress na kuwa vicheche tu. Nina experience kabisa nishawahi kuwa na mahusiano na mwafrika mwenzangu aliyeolewa na babu wa kijerumani. Yule mdada alinitongoza mwenyewe kwa sababu hakuwa na furaha katika ndoa, babu alikuwa hamridhishi, babu anamdhalilisha yule msichana (alishawahi kumwambia wafanye group sex na marafiki zake, babu anaomba ngono kinyume na maumbile, etc). Kiukweli yule msichana nilikuwa namuonea huruma sana kwani mambo yalienda ndivyo sivyo na mategemeo yake. Anasema yule babu alikuwa anakuja Tz kila baada ya miezi miwili na hicho ndio kilimdatisha sana yule dada so akaubali fastafasta wakafunga ndo na akamzalia. Ile wameondoka (nchi naiweka kapuni) walivofika kule ndio akagundua babu wa watu ana madeni serikalini na amefunguliwa kesi, mzee halipi maji na umeme, mzee anakaa kwwnye tuvyumba viwili tu na choo. Basi mie nikawa najilia mzigo taratiibu muda wangu ulivofika wa kurudi bongo nikamuacha yule dada kule. Dada anamiss sana Tanzania lakini sasa inabidi aje mara moja ndani ya miaka miwili kwa sababu hana nauli ya kuja huku. Napata story sasa hivi yule dada kule amekuwa anakigongesha sana kwa wabongo ili wamtoe stress maana Ulaya ukishazaa huna soko tena kwa wazungu we utagongwa tu na waafrika wenzako. Dada zetu jamani kuweki makini sana msiamini mnachokiona, vibabu vya kizungu vinaeza kuwaharibia maisha japo wengine wankuona umetoboa kumbe wapi wewe full stress. Na usibabaishwe na matumizi yao wakija huku bongo..