Kamatakamata ya dada poa na wateja wao

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
2,026
3,104
Kuna zoezi linaloendelea la kukamata madada poa wateja wao jijini Dar es Salaam, zoezi hili lilikuwepo katika awamu za serikali zilizopita.

Tofauti ni kwa awamu hii inaonekana wapo serious sana. Bila kujali marital status yako, itikadi au ujinsia.

Hebu toa maoni yako ukizingatia faida/hasara na umuhimu wa biashara hii katika karne hii.
 
biashara kuu tatu haziwezi kufa duniani ukahaba pombe na mawasiliano
 
Wataingia na ndani ya club kuwakamata? Maanake siku hizi wanalipa na kuingia club au bar kubwa kubwa na kuwatofautisha na mademu wa kawaida kazi kweli kweli mpaka upewe invoice! Wale wanaosimama barabarani ni wachafuwachafu tu
 
Back
Top Bottom