Mjukuu wa Sechenga
Member
- Nov 13, 2015
- 34
- 37
Yapo matukio ambayo yanatia ukakasi kuyazungumza lakini hili ni jambo ambalo limetokea katika shule fulani wilayani Muheza.
Huyo mzee amebahatika kuzaa watoto wakike 4 na wakiume 1 wa mwisho na mwalimu huyo ni mkali sana kwa watoto wa kike na endapo akikufumania basi ugomvi utakuwa mkubwa sana.
Mwezi uliopita mwanaye kajifungua na mtoto kafanana zaidi na baba yake na isitoshe mama au mke wa mwalimu kaujua ukweli kuhusu tabia ya mumewe na mpaka hivi sasa kaihama nyumba.
Hivi wanajopo mna kipi cha kumshauri baba au mama ambaye mwanaye amezalishwa na mumewe.