Hivi bibi harusi kununa siku ya ndoa ni ishara ya nini?

Hivi bibi harusi kununa siku ya ndoa ni ishara ya nini?

May be unakuta anaumwa lakini anajikaza harusi iishe asije akaharibu shughuli
 
Huyo kaolewa na bwana asiyempenda kakubali kuolewa nae coz ana kitu fulani amazing so anamuwaza yule anaempenda kwa dhati pia anawaza jinsi atakavyopangailia ratiba zake za kuchepuka.huoni humu kila siku wanakuja kuomba ushauri wazipeleke wapi mimba walizopewa na mabwana zao wa wazamani?(wenyewe wawaita RAFIKI YANGU WA ZAMANI)
 
Anawaza ma Ex wake...pia nadhani hua wanajua kua zile pozi na kudeka ktk uchumba kutaisha very soon

or may be anawaza kapata mtu ana kibamiA
 
Watu mna mambo kweli! Kusimama na kukaa mbele ya watu kunataka moyo hasa wewe ukiwa center of attention ya woote. Wengine wanaona waweke uso mkavu since huwezi kukenua bila kuzungumza na mtu.
 
Back
Top Bottom