Wanaume wa Africa

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
6,079
6,911
1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - wa Angola, wa Rundi na wa Nubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha".

2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - wa Senegal.

3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - wa Kenya (Kati ya wanaume 10 nchini Kenya 7 wanapokea kipigo kutoka kwa wake zao. Chama cha kutetea haki za wanaume hadi sasa kina wanachama laki 8).

4. Wanaume wanaosali zaidi Afrika - wa Somali (kati ya wanaume 10 wa kisomali, 8 huswali swala 5 kila siku. Hata katikati ya vita huwaachi kuswali).

5. Wanaume matapeli zaidi Afrika - wa Nigeria (kati ya wanaume 10 wa Nigeria,
ni matapeli wa kutupwa. Hata kama ni Askofu ukijilengesha anakutapeli tu).

6. Wanaume wanaopenda dezo na kulelewa zaidi Afrika - wa Kongo (hawa wakioa mwanamke mwenye pesa huhamia kwa mke. Wanaitwa "Mario").

7. Wanaume wasomi zaidi Afrika -wa Shelisheli (Sychelles). Kila wanaume 100, 40 wana degree. Tanzania kila wanaume 100 watatu wana degree.

8. Wanaume washamba zaidi Afrika - wa Eritrea (ukienda kanisani/msikitini na gari jipya wanaahirisha kusali washangae gari kwanza).

9. Wanaume wachawi na washirikina zaidi Afrika - wa Gambia (Rais wao Yahya Jammeh hutumia waganga na wapiga ramli kama sehemu ya walinzi wake).

10. Wanaume wenye mikwara mingi mdomoni lakini waoga kutake "action" - Watanzania.
 
hehehe..
et sisi wa tz tuna mikwara waoga hatuteki action..!!
action zipi..?
 
LYOKA, hiyo namba kumi si kweli, nikikuahidi ntakuchapa kofi ntatekeleza kweli...
 
hehehe..
et sisi wa tz tuna mikwara waoga hatuteki action..!!
action zipi..?
...wanaume wa Tz maneno mengi mimi huwa nawafatilia upande wa siasa ya nchi hii, naungana na aliesema wanaume mna maneno kuliko vitendo...hata mkipanga kugoma kesho mtaamka mmebadili mawazo...aargh
 
Hiyo Number 10 badilisha badala ya TZ nzima kuwa specific ni mkoa gani ndani ya TZ, mbona jibu lipo wazi sana...
 
Back
Top Bottom