Manjuu01
Member
- Mar 2, 2016
- 74
- 35
Heshma kwenu Wakuu.
Kuna jambo naomba mnipe ufafanuzi kwanini hua inatokea hivi.
Hii ni hasa kwa Wanawake.
Tunaeza kua Bestfriends na kila mtu ana Mpenzi wake na maisha yanasonga vizuri tu.
Tatizo linakuja pindi mahusiano yanapovunjika baina ya kila mmoja wetu na mpenzi wake. Ikitokea baada ya kuachana na mahusiano yangu ya nyuma, mpenzi wa zamani wa bestfriend yangu akaniomba uchumba na kumkubalia inasababisha uhasama mkubwa kati yangu na my bestfriend.
Naomba kueleweshwa hapa kosa liko wapi na ni kwanini uadui hutokea?
NB: Ni mpenzi wa zamani wa my Bestfriend sio kwamba nimemnyanganya mpenzi.