Natafuta Mchumba

Natafuta Mchumba

mwanairinga

Senior Member
Joined
Dec 21, 2015
Posts
179
Reaction score
12
Habari wana jf,Mimi ni kijana wakiume ,naishi dar na nimeajiriwa na taasisi moja ya kifedha,nahitaji mchumba sifa,
1.awe mweusi na awe mnene wastani
2.Awe na umri kati ya miaka 25 hadi 27
3.Awe mkristo maana mimi ni mkristo au hata kama muuslamu lakini dini yangu isiwe shida.
4.Awe tayali kwenda kupima HIV
5.Awe tayari kuolewa
 
Uliweka "taasisi ya kifedha" ili isichukue muda kufanikisha mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom