Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu msaada. Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 20 sijawahi fanya mapenzi tangu nizaliwe na lengo langu ni hadi ndoa kutokana na imani yangu i mean ulokole. Lakini nowdayz nimekuwa katika...
4 Reactions
81 Replies
52K Views
Imeshakuwa mara nyingi sasa hawa jamaa wananiharibia mission zangu. Yaani utakuta siku hiyo nimeona mtoto mkali maeneo flan sasa ile namlia mingo ili niweze kusema nae mara bodaboda huyu hapa...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
I'm a man 33 yrs of age, currently working and living in Dar. I'm looking for a Christian female life mate, living or wiling to live in Dar, preferably employed of age ranging from 26-28. A...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MAISHA NI MAIGIZO, JIULIZE WEWE UNAIGIZA NINI? Maisha ni maigizo.Ukienda kwenye msiba, hata kama mtu sio wa karibu kwako, ni lazima utakuwa na huzuni. Hata kama una furaha kiasi gani siku hiyo...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Masomo ya elimu ya juu kijana kamaliza mtandaoni(on-line education) Ajira kapata mtandaoni Fedha anawatumia kwa njia ya mtandao Hata sokoni ananunua kwa njia ya mtandao Sasa iweje mumkatae...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MAHABA NIUE...(28) AGE....(18+) ILIPOISHIA "joylah" kwa mshngao Ramsey alimshangaa na kutotegemea kama ange mkuta yupo mahali pale.. TWENDE KAZI "sijui naku fananisha" aliongea Joylah huku...
0 Reactions
1 Replies
15K Views
Nina rafiki yangu wa karibu sana ni wa 90 ni chili wa Arusha ila kizali akahamia Dar na amejenga mjengo wa maana tunaishi sehemu moja mimi kitambo nikihamia apa nimehamia na mke. Jamaa alikuwa...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Uelewa tunatofautiana,naomba kujua ni salama kufanya mapenzi na mwenza mja mzito hadi miezi mingapi? Naamini majibu yatanufaisha wengi.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
habari wadau. kuna swali najiuliza sana hasa kwa hali nayoiona miaka hii tofauti na zamani. nilimaliza chuo kikuu 2010, age nipo late 20s, katika watu wanaonizunguka.. na niliosoma nao...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Wasalaam wakuu, Ni matumaini yangu kuwa kuna baadhi yetu tupo katika mahusiano. Mahusiano yenye mambo mengi kama kukera, kuliza na kuumiza. Wengi walio katika mahusiano wamefika walipo wakipita...
7 Reactions
104 Replies
10K Views
Usaliti ni Asili ya Mwanaume Ni asili ya mwanaume kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja au kutoka nje ya ndoa na hata mahusiano. Mara kwa mara nimewasikia watu wakisema hivi na nimekuwa nikijiuliza...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Leo tunazungumzia ni kwanini wanaume wengi hupenda kutoka nje ya ndoa zao ama kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja. Haimananishi kuwa mwanaume anapotoka nje ya mwenzi wake amemchoka ama hamtaki...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Karatasi nakamata,kueleza yalosibu Nna kipande cha kashata,nlichonunua Bububu Kashata yenye utata,utamuwe wasulubu Nimeziona kashata,ya bububu ni pekee Kitaka kula najing'ata,kwa utamu so...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi ni kijana mwanaume mwenye miaka 28, nahitaji msichana kwa ajili ya kufunga ndoa. Umri kati ya 20-28, awe mcha Mungu. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane PM.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Najua ulinipenda na ulipenda mapenzi yetu yafike mbali zaidi lakini kwangu haikua hivyo. Nilikuona rafiki tu, kwanza umri wetu unafanana. Wewe mwanamme una safari ndefu kufikia malengo yako so...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ninakusaidia kwa kila jambo unaloniomba na wala sikuiti masikini waliombaomba kwangu. Ila inatokea siku nakuwa siko fresh unaponiomba nikutatulie shida zako. Ila baada ya kushukuru unatoa ruga...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Nimekuwa na mtindo mbaya sana. Kila nikiwa na mwanamke namvutia hisia ya mwanamke mwingine.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jana nimeondokai na kumwanchia dada moja ambaye alikuja kwenye appointment na rafiki yake bilakunishirikisha,nilishangaa kila mmoja anaagiza kuku mzima! na Henken. Nilikuwa na Pesa za kutosha...
7 Reactions
259 Replies
24K Views
Mpe mimba tuu.. Hiyo ni fainali yake
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi na mzazi mwenzangu tumeishi miaka sita na tuna watoto wawili, mkubwa yuko darasa pili. Bahati mbaya nimegundua mwenzangu anachepuka na mwanaume ambaye tunaishinaye maeneo ya jirani, pia...
1 Reactions
103 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…