moyopasuka
New Member
- Mar 16, 2016
- 2
- 3
Mimi na mzazi mwenzangu tumeishi miaka sita na tuna watoto wawili, mkubwa yuko darasa pili.
Bahati mbaya nimegundua mwenzangu anachepuka na mwanaume ambaye tunaishinaye maeneo ya jirani, pia nimegundua kwa kipindi cha zaidi ya mwaka amekuwa kwenye hayo mahusiano, pia baadhi ya ndungu na rafiki zake wa karibu wanafahumu.
Ugunduzi wa usaliti umetokea kwenye kipindi cha maandalizi ya kubariki ndoa, vikao vimeshaanza na michango imeshaanza kukusanywa.
Naomba ushauri wa hatua ya kuchukua je nisimamishe maandalizi ya ndoa na kuachanaye, kuendelea na maandalizi ya ndoa na kuvunja ndoa baadaye kwa siri kulinda heshima yetu, au kusamehe na kuendelea na maisha kama kawaida.