Ashura9
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 740
- 485
Usaliti ni Asili ya Mwanaume
Ni asili ya mwanaume kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja au kutoka nje ya ndoa na hata mahusiano. Mara kwa mara nimewasikia watu wakisema hivi na nimekuwa nikijiuliza maana yake; nimeishia na tafri kwamba wanawake ni waaminifu na huwa na mpenzi mmoja tu na wanaume ni sio waaminifu hata kidogo.
Nimekuja kugundua kwamba nirahisi zaidi kwa mwanaume kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja ingawa sisemi kwamba wanawake hawana tabia ya kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja au kutoka nje ya ndoa lakini mara nyingi zaidi ya uaminifu unakosekana kwa wanaume iwe katika mahusiano ya kimapenzi au ndoa. Unadhani sababu zake ni nini hasa?
Siwatetei wanawake hata kidogo kwasababu nao pia wanakosa uaminifu wakati mwingine, wanawake wana sababu zao na wanaume pia wana sababu za kukosa uaminifu katika mahusiano, lakini hakuna sababu ya aina yoyote inalofanya hili kuwa sahihi. Wanaume wanakuwa na wapenzi wengi kwa sababu wanavyofikiria ngono…? Ni tofauti na wanawake, hawaichukulii kwa dhati kama wanaume.
Mwanaume anaweza kulala na mwanamke yeyote wakati wowote na asijutie kwani baada ya tendo hilo yeyeanaweza
kuondoka na kuendelea na maisha yake kama vile hakuna kilichotokea. Hii ni tofauti kabisa kwa wanawake ambao wanachukulia kujamiiana kuwa ni tendo muhimu muhimu na la kisiri sana katika mahusiano wanayokuwa nayo, wanaona ngono ni jinsi ya kuonesha mapenzi na hisia zao kwa wapenzi wao., hii ikiwa na tafsiri kwamba mwanamke hawezi kulala na mtu asiyempenda. Mwanamke akiamua kulala na mtu inamaanisha anampenda kwa dhati na kumheshimu.
Lakini, kwa nini iko hivi? Fikiria tendo hili linavyofanyika, halifanyiki ndani ya mwili wa mwanaume bali ndani ya mwili wa mwanamke. Nakumbuka mwalimu wangu wa fasihi nikiwa sekondari, alikua akituambia: unawezaje kumruhusu mbwa (akimaanisha mwanaume asiyemheshimu mwanamke) aingie mwilini mwako na kuondoka siku inayofuata? Sasa unaweza kuona jinsi wanaume wanavyotafsiri ngono tofauti na wanawake.
Hata kama mwanaume anampenda mpenzi wake kiasi gani, si rahisi sana kuwa muaminifu kwake, mwanaume ana shauku ya kutaka kujaribi kitu kipya kila wakati, kama jogoo anavyopenda kujaribu kila kuku anayemuona.Hata mpenzi wake amridhishe vipi, bado atakwenda kutafuta kitu kipya, cha ajabu ni kwamba yeye anakwenda kwasababu ya ngono tu na si kitu kingine, hakuna hisia anazokua nazo kwa wanawake wengine kwasababu upendo wake wote anampa mwanamke mmoja tu.
Kila mtu ana malengo katika maisha yake, wote tuna ndoto za kufika mahali Fulani, au kufanya kazi Fulani, wanaume wanakua na ari zaidi katika hili, hii ni kwasababu mwanaume asipopata kile anachotaka, basi atavipa kipaumbele anapotaka. Mwigizaji na Mtangazi Steven Harvey ameandika katika kitabu chake “Act like a lady, Think like a man” mwanaume huwekeza upendo wake kwa mwanamke baada ya kujitambua yeye ni nani katika jamii, anafanya kazi gani na pia anapata kiasi gani kutokana na kiasi cha fedha anachokipata kwa kazi yake. Hii ndio sababu wanaume wengi huwa hawawezi kujizatiti kwenye mahusiano kwasababu wanakua na mambo mengine ambayo kwao ni muhimu zaidi, na wazo la kuwa na mahusiano ya kudumu huja baadaye.
Haya hayapo kwa wanaume wasiooa tu bali hata kwa wale waliooa. Kama hajaridhika na alipofikia, ataweka nguvu zake na muda mwingi katika kazi au biashara ili kufikia malengo yake ingawa thamani ya mke wake bado ipo. Atampenda mke wake, lakini atakua na mtu mwingine kando ili amsaidie kufika pale anapotaka. Swali la kujiuliza baada ya haya yote ni je, wanaume hawaogopi kufumaniwa/ kukamatwa?
Wanaume huwa wanaogopa kukamatwa pale wanakuwa na wanawake wengine wasio wapenzi au wake zao, kwasababu mwanamke wake anapogundua mpenzi wake sio mwaminifu kwake, atakachofanya ni kumwacha na kusonga mbele na maisha yake. Lakini wanaume wanakua na uhakika kiasi Fulani kwamba wakikutwa wanaweza
kudanganya au kuwapa sababu za kwanini hawawezi kuwa na wanawake wengine. Japo matarajio ya wanawake wengi ni kupata upendo unaofanana moja kwa moja na wanaoutoa
kwa wanaume lakini ukweli utabaki palepale kuwa kamwe upendo wa mwanaume kwa mwanamke hauwezi kuwa sawa na wa mwanamke
Soma zaidi hapa chini.....
Cheating statistics in the United States are increasing every year at an amazing rate. Long lasting marriages or relationships seem to be harder to achieve and even rare.
When I first found out about my husband's affair with his coworker, one of the first things I asked myself was: "Am I alone? Am I the only one in my neighborhood that is going through this awful crisis? Do I know anyone else that was cheated by her husband?"
Searching for a little comfort, I went to find cheating statistics online. Here are some of the most astonishing facts I have found:
About 17 percent of divorces are caused by infidelity! That's an amazing number, considering there are so many other reasons for divorce ...
About 70 percent of married men admitted to cheating on their wives! Another study found that 2/3 of women are not aware of their husband's affair. I can relate to that — It took a long time until I found out myself — when I decided to check his phone....
Source: Cheating Statistics: Do Men Cheat More Than Women?