Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,836
Imeshakuwa mara nyingi sasa hawa jamaa wananiharibia mission zangu.
Yaani utakuta siku hiyo nimeona mtoto mkali maeneo flan sasa ile namlia mingo ili niweze kusema nae mara bodaboda huyu hapa hajaitwa wala nini atamkomalia demu hata kama alikuwa hana nia ya kupanda pikipiki atapanda tu.
Muwe mnasubiri mpaka muitwe jamani, yaani unamlia mingo mtoto mzuri hasa mkiwa mnaongozana nae road, unamhesabia atua ili uanze mazungumzo nae, pengine amekutoa mbali ila ukawa unamtafutia target ili ufike eneo ambalo utaweza kuongea nae kwa huru, heeeeee boda boda hata hajulikani katoka wapi, hajaitwa na demu wala nini anakomaa kumbeba hata bure. Dah!
Hawa jamaa wameshanivurugia mipango yangu mingi sana ya kuhusu watoto wazuri, muwe mnasubiri mpk muitwe basi dah..