MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,136
- 3,924
Masomo ya elimu ya juu kijana kamaliza mtandaoni(on-line education)
Ajira kapata mtandaoni
Fedha anawatumia kwa njia ya mtandao
Hata sokoni ananunua kwa njia ya mtandao
Sasa iweje mumkatae mchumba aliempata kwenye mtandao wa kijamii?Eti nidanganye tumekutana kanisan wakati hata TB Joshua akiomba luningani tunaamin.(Nimempata msichana "Badoo" ila nahisi kama hii tamadun ya kutoamin wapenzi wa mtandaoni inafanya nisimuone kakamilika)