Naweza kufanya mapenzi na mwenza mjamzito?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
Uelewa tunatofautiana,naomba kujua ni salama kufanya mapenzi na mwenza mja mzito hadi miezi mingapi?

Naamini majibu yatanufaisha wengi.
 
Kama yuko sawa hana matatizo ya kiafya basi ni mpaka anapotaka kujifungua.
 
Ila kama baba lazima umjali mama na mtoto alie tumboni unaweza ukafanya tendo hilo ili kuendelea kutanua njia ya mama ila usimwagie kule ndani pindi ujauzito unafika miezi 8 ili kunusuru kumchafua mtoto na manii pindi atakaokuwa anatoka...
 
Mwingilie tu mpk dakika ya mwisho anapoingia labour
Huu sasa utakuwa ni ukatili wa hali ya juu mkuu hata wataalamu wa afya hawashauri kitu kama hiki. kuna limit ya muda wa kufanya nae kwa sababu za kiafya.
 
Back
Top Bottom