Tiket ya kumuoa mwanamke msumbufu..

Baada ya mimba je? Au mimba inadumu miaka yake yote kwa sabab ni msumbufu?
Relatiob ship zote za kuchepuka zinakata ghafla..
Halafu akiwa na mtoto hata achepuke vipi.. Ila wewe i Baba tu
 
Kuna mdada alipangwa mbal na mme wake baada ya kupata kazi, alikuja na mtoto wa miez mitano akawa anapigwa mashine kawaida hadi mtoto akawa anagoma kunyonya. Niliumia sana aisee, kuoa ni mtihani mgumu sana.
 
Jidanganye tu, hujui nyege za michepuko wewe au Ma-EX ambao bado hawajaachana mioyoni na kwenye vikojoleo.

Wanachepuka hivyo hivyo na watoto bado wadogo wananyonya.
Mkuu kwani kinachofanya mwanamke achepuke ni nyege au tamaa aswe
 
Kuna mdada alipangwa mbal na mme wake baada ya kupata kazi, alikuja na mtoto wa miez mitano akawa anapigwa mashine kawaida hadi mtoto akawa anagoma kunyonya. Niliumia sana aisee, kuoa ni mtihani mgumu sana.
We umenielewa uoni sasa anayepiga mzigo ni jamaa ake..
 
Kuna madem ambao hata ukiwapa mimba hawachuji ndio wanazidi kupendeza halafu ukute pesa zipo...Bado utamtamani tu na akiolewa utaumia tu. Take it chief
 
Back
Top Bottom