Wanawake muwe na moyo wa shukrani

KACHINJA

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,263
868
Ninakusaidia kwa kila jambo unaloniomba na wala sikuiti masikini waliombaomba kwangu.

Ila inatokea siku nakuwa siko fresh unaponiomba nikutatulie shida zako. Ila baada ya kushukuru unatoa ruga chafu oooh.

Mara unanifanya hivyo kwa kuwa mimi sina kazi na wewe unakazi,mara unaniona ombaomba wako hivi ni kwanini muna roho hizo.
 
Mko sahihi sana lakini sio wanawake wote wako hivyo ingawa ni wengi wako na hiyo tabia.
 
Ni mama zetu, Dada zetu na wake zetu pia baadhi yao hulalamika kwa makusudi ili wabembelezwe hata kama hujampa kitu mpe maneno matamu yasiyo ya kinafki huridhika mno na kujiona tajiri hata kama hana kitu..
Very True... We love being spoiled... Thanks..
 
Vumilia tu hayo ni kawaida ila next time ukiombwa hela kataa kwanza halafu baadae una mwita unampa hivo atafaham tu
 
Ninakusaidia kwa kila jambo unaloniomba na wala sikuiti masikini waliombaomba kwangu.

Ila inatokea siku nakuwa siko fresh unaponiomba nikutatulie shida zako. Ila baada ya kushukuru unatoa ruga chafu oooh.

Mara unanifanya hivyo kwa kuwa mimi sina kazi na wewe unakazi,mara unaniona ombaomba wako hivi ni kwanini muna roho hizo.
Sio wote. My Boo kama siku hana naweza kumtoa vile vile kwani kitu gani??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom