Mahaba niue

Vladimirr

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
546
568
MAHABA NIUE...(28)
AGE....(18+)
ILIPOISHIA
"joylah"
kwa mshngao Ramsey alimshangaa
na kutotegemea kama ange mkuta
yupo mahali pale..
TWENDE KAZI
"sijui naku fananisha"
aliongea Joylah huku akimkagua
Ramsey juu mpaka chini.
"ah wapi, nisinge kuita jina lako wala
huni fananishi kabisa, shemeji tena
kwa Kway mimi Ramsey mara ya
mwisho kuonana ilikua DDC pale ,
kuna kifujo kika tokea"
"ahaaaaa nisha kumbuka nisha
kukumbuka leta bia yako ukae hapa
tupige stori mbili tatu, Kway atakuja
sasa hivi naona atachelewa you jus
come and join us"
Ramsey alitembea mpaka kwenye
meza yake na kuchukua kinywaji
chake na kuketi pembeni ya Joylah
ambae muda wote alikua akimkagua
Joylah kwa jicho la wizi, alianza
kumkagua lips zake alishuka kwenye
maziwa yake yaliyo kua madogo
kiasi na jicho kutua juu ya kitovu
cha Joylah kilichokua nje kutokana
na Top aliyo vaa kuwa fupi , bado
hakuishia hapo alishuka mpaka
kwenye mapaja ya mrembo huyo
ambae alikua amevaa kika mptura
cha jins.
"shem ume kogaaa"
"hahahahahahahaha acha zako
Ramsey, Kway mzushi sana, leo ili
kua twende kwenye show ya
DIAMOND pale Darlive, kani fanya
nivae ivi mwisho wake ana niambia
eti ana mambo mengine, kanikera
sana shemeji, katika maisha yangu
mimi sipendi kufanywa kama mtoto,
eti shem wewe una weza
kumdanganya mtu wako?"
"mimi siwezi hata siku moja huwa ni
mtu wa kutekeleza ahadi, hasa kwa
mtu ninae mpenda, ila msamehe
kway si unajua tena hawa waandishi
tena wa stori mambo mengi"
"nime choka bana kwani leo mara ya
kwanza sasa, sio mara yake ya
kwanza, yaani yule anaangalia sana
pesa kuliko mimi, muda wote yeye
ana waza pesa,mara uta sikia kuna
kazi ya mtu ya kuandika stori sijui
niko bize"
"aaah sasa si kwa faida yenu iyo
pesa ipo siku uta jua umuhimu wake,
pia vile vile kabila lina ruhusu
mchaga na pesa, hapana chezea"
stori ziliendelea huku Joylah
kuonekana kufurahi muda wote
kukaa na Ramsey sababu muda wote
alikua akicheka mpaka wakati
mwingine anamgonga Ramsey
,mgongoni..
baadae Kway ana kuja na kukaa
pembeni ambapo pombe ziliongezwa
tena
"mmmh yule dogo kama nam
fananisha embu nisubirini nakuja"
ramsey aliongea huku alimuendea
mtu aliye muona kavaa kofia nyeusi
huku pembeni akiwa na warembo
wawili.
"DEDI MWITA, mwambaaaaa"
"oooyaaaaaa Ramsey vipi mwana,
nishai nishai babuuu, upo wapi?
nipe code nipe code."
"hahahahah DEdi hawa wakina nani
tena"?
"huyu ana itwa GYna na huyu ni
shemeji yako ana itwa Bernadita
nime kuja one time nini REAL NIGA
SHIT,nigee namba zako nita kucheq
naenda DARLIVE kumcheq platnumz"
pale wali badilishana namba na DEDI
kuondoka huku akiingia ndani ya
VITZ yake na kuchapa mwendo
Ramsey alirudi kukaa juu ya kiti na
kuendelea na stori, walibadilishana
namba na joylhah pamoja na Kway
na kuondoka zake akiwaambia kuwa
kesho ana takiwa kuwahi kazini,
baada ya kuingia ndani ana sikia
ujumbe mfupi na kuusoma
"RAM GUDNYT IT WAS NICE TO SEE
YAH TODAY"
ulikua ni ujumbe mfupi kutoka kwa
Joylah na kumfanya Ramsey
amwangalie pale alipokua amekaa na
macho yao kugongana, aliwasha gari
na kurudi Mikocheni,
hakujibu sms ile baada ya hapo
aliingia bafuni na kujimwagia maji na
kuji tupa kitandani.
***********
"kwichi kwichi kwichi"
zilikua ni kelele za kitanda kutoka
kitandani ambapo Ramsey alikua
akimla uroda Josephine huku
akibadili kila ina ya mkao kitandani
hapo,
"aasshh aaaaah Ram stooo..p
ba,,,,,by"
pilika zilianza Ramsey akiwa makini
sana juu ya kiuno
cha Josephine aki shughulika na
mrembo huyo.
"ngongongo"
ulikua ni mlio wa hodi kutoka
kwenye mlango na kuwa fanya
wakurupuke na kustaajabu nani
aliyekuwa akibisha honi na kuwa
katisha raha zao.
"nani"?
aliuliza josephine
"wewe mwana mke fungua mlango?"
ili kua ni sauti ya Mr, mwasha
ambayo ili sikika ikiwa na jazba
nyingi sana.
"mungu wangu mume wangu"
"unasemaje wewe si ulisema
amesafiiri?"
"mimi mwenyewe nashangaa"
"sasa ita kuaje"?
"ita kuaje kivipi"?
"sasa ingia bafuni"
purukushani ilianza na Ramsey
kuanza kuji ficha bafun huku akibeba
boxa pamoja na nguo zake aliingia
bafuni haraka haraka na kitulia.
"wewe mwanamke fungua na huyo
unaye mficha sasa hivi naomba
atoea maana nita ua mtu ."
Mr, mwasha aliongea maneno hayo
na kumfanya Josephine azidi
kuchanganyikiwa, kweli alifungua
mango na Mwasha kuingia huku
akionekana kumtaffuta mtu aliingia
ndani ya makabati moja kwa moja na
kuonekana kumtafuta mtu, baada ya
kumkosa aliuendea mlango wa
bafuni ambapo Ramsey alipo kua
amejificha huku jasho jembamba
likiwa lina mtoka na kujutia kwanini
ali kua ana tembea na mke watu.
"mume wangu nini tatizo/"?
"hivi una niona mimi fala sana
eeeh,? mimi sio fala wala bwege
humu ndani kuna mtu, na sasa nita
mpata na nita muuwa mimi
mwenyewe na kelele usiiongee
MALAYA mkubwa wewe,pumbavu
sana wewe, pumbavu mwili mzima"
Mr, MWasha laitoa bastola kiunoni
na kuufungua kitasa cha mlango.
macho kwa macho alikutana na
Ramsey ambae alikua ameshika boxa
mkononi huku akiwa na jasho jingi
mwilini....
"Ramsey.... njoo pumbavu wewe
yaani leo nakuuwa ,, toka nje fala
wewe kacha kacha"
Mr, mwasha alikoki bastola yake
huku akimtaka Ramsey atoke nje....



Follow me on facebook joseph evarist lungu
 
ili iwejeee.. kwani nani kakwambiaa. uilete huku jf???? haka katabia sikapendii kila kitu etii ni follow Facebook ..unataka followers??
 
Back
Top Bottom