shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,329
habari wadau.
kuna swali najiuliza sana hasa kwa hali nayoiona miaka hii tofauti na zamani.
nilimaliza chuo kikuu 2010, age nipo late 20s, katika watu wanaonizunguka.. na niliosoma nao primary, secondary na chuo, ambapo ni age mates... wanaume wanatangulia sana kuingia kwenye ndoa kuliko wanawake..
yaani ni kawaida sana mwanaume kuingia ndoani akiwa na 28, 29,30 kuliko wanawake wa umri huo huo
.
na haya ma group ya social network yanavyoimiza ushirikiano ( tunawasiliana sana na kuonana kwenye misiba na sherehe,, kujua flan yuko wapi na anafanya nini ).. wanaume wengi sana wapo kwenye ndoa zao kwa umri huu.. ila wanawake wengi hawajaolewa kabisa.. ukiacha wachache walioamua kuzaa watoto...
najiuliza sana hii inakuaje wanaume kutoogopa kuingia kwenye maisha ya ndoa mapema huku dada zao bado wana enjoy ubachelor..
maana navyosikia wanawake wanawahi kukua kiakili za maisha kuliko wanaume.. sasa why wanaziogopa changamoto za ndoa, nowdays kawaida sana mwanamke 28, 29, 30 bado anaenjoy ubachelor..