Ushauri: Kufanya mapenzi baada ya ndoa, naona kama nashindwa

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
716
643
Wakuu msaada.

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 20 sijawahi fanya mapenzi tangu nizaliwe na lengo langu ni hadi ndoa kutokana na imani yangu i mean ulokole.

Lakini nowdayz nimekuwa katika hisia kali za kuhitaji fanya mapenzi na ninaona nitashindwa kujizuia kwa kuwa nimeshaanzsha mahusiano na
msichana lakini siko tayari kufanya hali nahitaji.

Msaada kwa waliowahi pitia situation hii na kushinda
 
wazo na lengo lako ni zuri, lakini tatizo ni kwamba mda sio mrefu washkaji wataanza kukutafunia hako kadem kako, ko chagua moja kukaza ili utafuniwe au kulegeza ili ulinde mboga yako!
 
wakuu msaada...
mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 20 sijawah fanya mapenzi tangu nizaliwe na lengo langu ni hadi ndoa kutokana na imani yangu i mean ulokole lakn nowdayz nmekuwa katka hisia kali za kuhtaj fanya mapenzi na ninaona ntashndwa kujizuia kwa kuwa nimeshaanzsha
mahusiano na
mschana...lakn siko tayar kufanya hl nahtaj msaada kwa walowah pitia situation hii na kushinda
Unayefanya nae mahusiano siyo bikra we gegeda kijana kama ni ndoa itajipanga huko mbele nikiona umri wako hadi uje uowe itachukua miaka mingi ijayo
 
Hili zoezi ningumu Sana laitaji ujasili Mia mmoja wenu atakua Ana cheat ila usikate namaa komaa tu pia ukiomba Sana
 
Kama ni imani yako ifuate bila kuangalia huyo msichana ataliwa au la. Naamini imani si kwa ajili ya mtu ila unafanya kwa ajili ya Mungu, so shika unachoamini. kuhusu hisia ni kawaida na angalia zisikushinde
 
JF si sehemu sahihi kuuliza swali kama hili. Humu ni waumini wa ngono, na hata walio'okoka' waliokoka kutokana na matatizo, waliyokutana nayo baadaye maishani. Wengi walianza na ngono kwanza baadaye wakiwa wanatafuta kazi wakachagua kwenda kwa Mungu badala ya waganga, au walipopata matatizo ya kiuchumi, magonjwa au ndoa then wakaokoka. Ushauri wangu mtafute mtumishi mmoja awe mentor wako. Mwambie magumu unayoyapitia. Zamani kwa umri huo ungeoa lkn kwa sasa hali ya shule na maisha inalazimu kusubiri subiri. Natamani wazazi tungefanya mapinduzi makubwa, tungewaruhusu vijana wetu waoe hata kama wanakaa kwetu na wako vyuoni bado. Ingesaidia sana. Ila endelea kumuomba Roho Mtakatifu akutie nguvu mbona kuna mapadri waaminifu hawafanyi ngono.
 
Unaweza, japo umewahi sana kuwa na mpenzi kwa lengo ulilo nalo, soma Biblia zaid na utafakari maneno ya kweny Bible ndo itakuwa rahis. Epukana na mazingira hatarish ukiwa na huyo mpenzi wako kama chumban n.k kumbuka Biblia inasema "Usichochee mapenzi kabla ya wakati wake" NB:Jf pia patahatarisha safari yako hasa jukwaa la MMU
 
Imeandikwa "Amtafakarie Mungu atapata mema.

Acha hayo mawazo huo no mtandao Wa shetani ili akuaharibie na akuamishe kwny Kusudi la Mungu. Nenda sana knsn, kaa kwny maombi, mwabudu na msifu Mungu , soma Bible na utafakari Neno LA Mungu, hapo utashinda maana shetani hatapata nafasi ya kuingiza mawazo yake.

Mm nimeweza na Nina miaka SITA (6) bila mwanamke, acha kuckiliza miziki ya kidunia maana iyo inaleta uwepo wa kishetani.

Ninakuombea sasa: Kwa mamlaka ya Jina LA Yesu ninakata izo nyaya za mawasiliano ya kipepo zilizounganishwa na ufahamu kwa Damu ya YESU KRISTO, tangu nakuunganisha na mtandao Wa Mbinguni kwa Jina LA Yesu Kristo, nimeomba. Amen
 
Kama ni imani yako ifuate bila kuangalia huyo msichana ataliwa au la. Naamini imani si kwa ajili ya mtu ila unafanya kwa ajili ya Mungu, so shika unachoamini. kuhusu hisia ni kawaida na angalia zisikushinde
Safi sana. Do for God he is the only knower.
 
Back
Top Bottom