Wanawake nyie endeleeni kuringa tu

Livejr

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
2,070
2,794
Msichana ana miaka 22, anafuatwa na mvulana na kuambiwa kwamba anataka kuolewa, mvulana yupo kamili kajiandaa na anamaanisha, msichana anakataa kwa visingizio vya kipumbavu mvulana anaachana nae.

Anachokifanya ni kumfuata mvulana ambaye hana mpango wa kumuoa kisa gari kisa fedha anataka kuitwa mpenzi na mambo kuishia kitandani anavuliwa pichu.Haiishii hapo anapofika miaka 23, 24, 25, 26 hali inakuwa hivyo hivyo kwake anajiona hana haja ya kuolewa anaamua kuwa na mpenzi tu, leo huyu kesho huyu na keshokutwa yule.

Siku hazimsubiri miaka 27, 28, 29 na 30 inaingia hapo ndipo anashtuka kwamba kapoteza muda na anatakiwa kuolewa.Hahaha! Mungu sio chizi aliyajua maisha yako ya mbele ndio akakuletea wanaume mbalimbali wa kutaka kukuoa lakini ukakataa kwasababu zisizo na mantiki.

Mwenyewe unaona muda wa wewe kuolewa umefika lakini hauolewi unaanza kuangaika huku na kule kila mwanaume kwako anaonekana kuwa muhimu. Yaani wakati ambao haukuuhitaji ndoa, ndoa ilikuhitaji na wakati ambao unaihitaji ndoa wanaume wana-HIT & ku-RUN.

Kwa mahesabu kama una miaka 30 inakupasa kuolewa na mwanaume mwenye angalau miaka 33 au 35. Je kuna mwanaume mwenye umri huo ambaye yupo tayari kuoa? Mwanaume hataki kuitwa babu na mtoto wake anataka kuitwa baba. Mwanaume anapofikisha umri wa miaka 30 anaweka jiko ndani lenye miaka chini ya 25.

Sasa kama kipindi alichokuwa na miaka 30 ukamkataa, wewe ukiwa na miaka 30 mwenzako ana 35 kashaoa kitambo na kama MUNGU kamjalia ana watoto wawili.Sikulazimishi uolewe ila unapopata mwanaume aliye tayari kukuoa kubali tu, ndoa ni bahati kuna wanawake wanafikisha miaka 40 na bado hawajaolewa na kila siku wanatamani kuolewa.

Unapoipata bahati fanya mambo.Siku zote mwanaume anapokwambia kwamba anataka kukuoa ukaleta pozi weeeeee, akija kwa mara ya pili huyo si muoaji, atakuja akuchezee na kukuacha kwani anajua pia we haupo tayari kwa kuwa alishakupa nafasi ukailetea pozi.

WANAWAKE WAPO MILIONI 29 TANZANIA NA WANAUME MILIONI 25. HALAFU WEWE UNALETA POZI.HAYA, TUTAONA MWISHO WAKE.
 
Weng ktk umri huo ujiona bora kuliko so uamini watapata bwana tu wanasahau alie weka ikawa asubuh ikawa jioni yuko juu yao...hvyo uwawanashituka jioni wsnakuta kila nyumbani ishafungwa wanaishia kulala kila mtalo wauonao umependeza uwenda tu aupitixh maji yatakayo wasomba na kuwapeleka mbali.
 
Msiwape watu stress, kama hajakupenda basi kubali haujapendwa...sio sababu una ahaidi ndoa ndo ajilazimishe kuolewa na wewe. Unajuaje na huyo mwingine hajamwambia anataka kumuoa kama wewe unavyosema.
They will marry when and who they want.
Hizi topic mkawaambie dada zenu nadhani ndo hawana haki ya kupenda au kuchagua wanachopenda.
 
Weng ktk umri huo ujiona bora kuliko so uamini watapata bwana tu wanasahau alie weka ikawa asubuh ikawa jioni yuko juu yao...hvyo uwawanashituka jioni wsnakuta kila nyumbani ishafungwa wanaishia kulala kila mtalo wauonao umependeza uwenda tu aupitixh maji yatakayo wasomba na kuwapeleka mbali.
umenena vema mkuu, ila ndo hivyo utasikia sio lazima wakat wakifika 30+ wanaanza kwenda kwa waganga wapate ndoa
 
Back
Top Bottom