Kayenga jr
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 443
- 349
Leo ningependa kuongelea suala la mwanamke mke wa mtu kuwa na tatizo la aidha kuchelewa kupokea simu au kutokupokea simu,
Nimejaribu kufatilia kabla hajawa mke ukimpigia simu faster anapokea lakini kitendo cha kumfanya mke ni tatizo kwa mwanamke unaweza kupiga simu toka asubuhi mpk saa tano haipatikani au haipokelewi kabisa na uaiombee akawa na mtoto ndio kabisa ,
Sometimes unaweza kumfikiria vibaya labda ukitoka kuna mtu anakuja kumgegeda ukimuuliza atakwambia nisahau kuiwasha au simu ilikuwa mbali na mie yeye yupo kibarazani simu IPO chumbani na hana habari ,nini maana ya simu ya mkononi sasa, akiwa nafanya kazi kidogo hali hii huwa inapungua kidogo lakini sio kwisha na hii ni karibia kwa wanawake wote, madhara ya hii kitu ni mume anaweza kuharibu kazi kwa wivu au kumuweka mwenzako katika pressure maana kama umemuacha nyumbani halafu baadae umpigie simu hapokei unaweza kwanza kuhisi mambo mengi labda kapata ajali au vipi ,
Wanawake mjitambue simu ni kwa ajiri ya kurahisisha mawasiliano mtuonee huruma pia tuna vitu vingi vya kutuumiza kichwa .