Mkiolewa mnatulia sana kwenye ndoa zenu mnajituma sana kufanya kazi na kutunza familia na wala sio wavivu kama wahaya ambao wakiolewa kutwa hushinda vibarazani wakijiremba na kujichubua.
Dada zangu kwenye ndoa ni wavumilivu sana hamna longo longo na mna malezi mazuri hata kwa watoto wenu hakika nyie ni mfano wa wanawake wa kiafrika mlio funzwa mkafunzika.