Ndoa yangu iko mbioni kuvunjika, sijui nitamueleza nini mke wangu

Mr mgeni

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
1,222
803
Sikutegemea wala sikufikiria kumsaliti mke wangu lakini kwa bahati mbaya yametokea yote ni visawishi vya shetani na tamaa mbaya za kimwili.

Nimejikuta nikizoa gonjwa baya sana kwa dada ambaye sitamsahau nimefanya siri wiki ya pili sasa bila wife kujua japo najitetea kwa maneno(tendo la ndoa)hadi kufikia hatua ya masuala yetu ya kinyumba kufikia kwa viongozi wakubwa.

Ugomvi umekuwa mkubwa mno baada ya kumueleza ukweli kwamba mimi ni mgonjwa na ugonjwa nilionao ni wa zinaa na yeye hana.

Naulizwa umeutoa wapi? Kiukweli jibu sikumpa maelewano ndani yamekua madogo mno mke wangu hataki kunielewa hata kidogo.

Nifanye nini jamani?Nampenda sana mke wangu.
 
Imekula kwako jombaa kwa nini tamaa ziutawale mwili wako ilhali upo na mke ndani? ona sasa hilo dyudyu uliloshobokea na kuzuzuka nalo kumbe limeoza!!!

Ulioa ili iweje sasa kama bado roho wa uzinzi anatamalaki kwenye bichwa lako? Hukujua kuwa mkeo nae ana moyo wa nyama unaopondeka?
Una stahili adhabu yoyote atayoona mkeo inafaa hata kutarikiana poa tu make bila shaka kabla hujafanya ufedhuri wako ulijua athari zake.
Siwezi kukushauri, sipo tayari kuegemea upande wa shetani hata kidogo.
 
Mapenzi ya siku hizi

Unampenda sana mke wako

Na bado unemsaliti

Tena umegonga kavu

Kama kakuambukiza gonjwa la zinaa hata ukimwi anaweza kukuambukiza

Na ukampelekea mkeo "unayempenda sana"
Nakuona unavyotetemeka kwa hasira. Unajenga picha ya shemeji kama ndiye huyu mleta thread.

Punguza presha, kunywa juice.

Pasaka njema
 
Unampendaje mkeo mkuu,unaenda kuzini nje ya ndoa tena bila kinga?

Mueleze ukweli na umuombe msamaha mkeo.
 
Shetan alikushawish ukamtongoza,ukachukua gest ukamvua kidaka ukauloweka tena ulipiga zaid y vi3 afu leo useme shetan alikushawish
 
Sikutegemea wala sikufikiria kumsaliti mke wangu lakini kwa bahati mbaya yametokea yote ni visawishi vya shetani na tamaa mbaya za kimwili.

Nimejikuta nikizoa gonjwa baya sana kwa dada ambaye sitamsahau nimefanya siri wiki ya pili sasa bila wife kujua japo najitetea kwa maneno(tendo la ndoa)hadi kufikia hatua ya masuala yetu ya kinyumba kufikia kwa viongozi wakubwa.

Ugomvi umekuwa mkubwa mno baada ya kumueleza ukweli kwamba mimi ni mgonjwa na ugonjwa nilionao ni wa zinaa na yeye hana.

Naulizwa umeutoa wapi? Kiukweli jibu sikumpa maelewano ndani yamekua madogo mno mke wangu hataki kunielewa hata kidogo.

Nifanye nini jamani?Nampenda sana mke wangu.
Bwana wewe kila mara Una Snema mpya leo hivi kesho vile kumbuka nyimbo mbaya haimbiwi mtoto hayo unayo yatunga
ipo siku itakua kweli ushindwe kusema.....
 
Sasa wewe baada ya kujigundua ni mgonjwa kwanini kwanza usingeenda hospital ukajitibu kwa siri mpaka inafikia hali mbaya bado upo tu???? Nenda hosipitali cheki afya yako na kama ni maradhi yanayotibika anza tiba, kama ni Ukimwi Pole, baada ya hapo muuleze tu ukweli mkeo atakasirika sana na Zaidi ya hapo ila usiache kuomba msamaha, kila siku, hata kama ni mwaka mzima, ila kama itakuwa umeathirika na ukimwi ni ngumu kukupa nafasi ya pili..ial kama ni maradhi ya kawaida kama utaendelea kumbembeleza iko siku atakusamehe wawanawake wamumbwa na huruma pia, muhim usichoke kuomba msamaha.
 
Sikutegemea wala sikufikiria kumsaliti mke wangu lakini kwa bahati mbaya yametokea yote ni visawishi vya shetani na tamaa mbaya za kimwili.

Nimejikuta nikizoa gonjwa baya sana kwa dada ambaye sitamsahau nimefanya siri wiki ya pili sasa bila wife kujua japo najitetea kwa maneno(tendo la ndoa)hadi kufikia hatua ya masuala yetu ya kinyumba kufikia kwa viongozi wakubwa.

Ugomvi umekuwa mkubwa mno baada ya kumueleza ukweli kwamba mimi ni mgonjwa na ugonjwa nilionao ni wa zinaa na yeye hana.

Naulizwa umeutoa wapi? Kiukweli jibu sikumpa maelewano ndani yamekua madogo mno mke wangu hataki kunielewa hata kidogo.

Nifanye nini jamani?Nampenda sana mke wangu.
Hivi kwanini baada ya kuharibu ndo unajua unampenda sana mwenzako???
 
Sikutegemea wala sikufikiria kumsaliti mke wangu lakini kwa bahati mbaya yametokea yote ni visawishi vya shetani na tamaa mbaya za kimwili.

Nimejikuta nikizoa gonjwa baya sana kwa dada ambaye sitamsahau nimefanya siri wiki ya pili sasa bila wife kujua japo najitetea kwa maneno(tendo la ndoa)hadi kufikia hatua ya masuala yetu ya kinyumba kufikia kwa viongozi wakubwa.

Ugomvi umekuwa mkubwa mno baada ya kumueleza ukweli kwamba mimi ni mgonjwa na ugonjwa nilionao ni wa zinaa na yeye hana.

Naulizwa umeutoa wapi? Kiukweli jibu sikumpa maelewano ndani yamekua madogo mno mke wangu hataki kunielewa hata kidogo.

Nifanye nini jamani?Nampenda sana mke wangu.
Mwenzetu una bahati kweli yaani hadi shetani alikufuata waziwazi na kukushawishi ufanye hayo na kumkubalia.ama kweli wewe na yeye mnajuana kitambo
 
Sasa wewe baada ya kujigundua ni mgonjwa kwanini kwanza usingeenda hospital ukajitibu kwa siri mpaka inafikia hali mbaya bado upo tu???? Nenda hosipitali cheki afya yako na kama ni maradhi yanayotibika anza tiba, kama ni Ukimwi Pole, baada ya hapo muuleze tu ukweli mkeo atakasirika sana na Zaidi ya hapo ila usiache kuomba msamaha, kila siku, hata kama ni mwaka mzima, ila kama itakuwa umeathirika na ukimwi ni ngumu kukupa nafasi ya pili..ial kama ni maradhi ya kawaida kama utaendelea kumbembeleza iko siku atakusamehe wawanawake wamumbwa na huruma pia, muhim usichoke kuomba msamaha.
hospitali nimeenda na tiba nimepata bado naumwa nahitaji msaada wa mke wangu kwa namna moja au nyingine imefikia stage ambayo hakifichiki kitu.Asante sana kwa ushauri wako.
 
Mwambie ukweli na uombe msamaha atakusamehe na kila kitu kitakuwa Saw a ila usirudie tena uzinzi
 
Back
Top Bottom