Mtaalamuwenu
Member
- Jan 3, 2016
- 45
- 21
Kuna hii habari inatatiza, wakati mwingine huyu binti anakuwa karibu na mimi, wakati mwingine hataki hata kuniona hii inajirudia rudia sana.
Nipeni ushauri.
Nipeni ushauri.
Nahc nampenda, kila nkitaka kumwacha najikuta tu tenaWe mwenyewe umeamuaje? Mi nakushauri kama ye ni mguu ndani mguu nje, wewe toa miguu yote nje
Nilishavuka huko enz zilemkuu unasubiri post za f5?
Duh !! Hawa watu ni shidaItakua Ana mchepuko. Akiwa na huyo mwengine ataki umzoee utamuaribia na akiwa kwako anamletea ukauzu huyo mwengine. Maisha yanasonga
Safi mkuuDawa yake nawe uwe kauza zaidi yke mguu mmoja nje mmoja ndani....
Akiishia moja kwa moja namkosaMpe mda ajitafakari... wakati huo wewe ukijificha(punguza ukaribu nae)
Basi na ww utakuwa jipukumwacha naweza ila naogopa nisije umia
Kwa hyo inaonekana tatizo liko kwangu?Basi na ww utakuwa jipu